Unaanzaje?

Unaanzaje?

Lol............Natamani kuijua hiyo inayomeza mwezie ndo ipi.

Msaada pls..

Unaanza kubadili avatar eeeeh
Itaiona tuu sign na mapicha kama ya tyta na utaona hicho linachokumeza na raha juu
 
Unaanza kubadili avatar eeeeh
Itaiona tuu sign na mapicha kama ya tyta na utaona hicho linachokumeza na raha juu

Avatar ni kumbu kumbu ya mwanangu hiyo..

Kufuatilia itakuwa ngumu nahitaji msaada wako.....
 
Hapa napita..habari yako Tyta
Karucee nletee ule mzigo wangu basi
 
Last edited by a moderator:
Nashangaa, watu wa pwani hatuna hili wala lile, ukijifukiza oud wako wa mawardi, ukiifukiza na nyumba akikuta kikoi chake na khanga zako zimefukizwa ma oud, sharti nyumba inanukia kwa maoud ya mawardi, kitanda kimetupiwa asumini za hapa na pale, umeshajitia kikuba chako cha asumini na viluwa kichwani.

Hapo kuna kuongea tena? au kuna unaanzaje? Mnanchekesha!
 
Back
Top Bottom