Unaanzaje?

Unaanzaje?

taratiiibu....
UKIONA.jpg
Tyta ni noma.... haya bhana shida hazina msimu ful mshawasho lazima usimame
 
Last edited by a moderator:
Dah mkuu tyta unafukua wapi mapicha yako hapo juu? Salute!
 
Mara nyingi hutokeaga automatic, inaweza kuwa mnasaidiana kupika jikoni mara mtaamua kuzima kwanza jiko, wakati mwingine sebuleni mmekaa mara kanaanza kauchokozi fulani toka kwa yeyote kati yetu, wakati mwingine bedroom mmelala mara mzee kaguswa na chuchu ghafla atageuka ukicheki kitu kimesimama n.k
 
Hiyo kitu haina fomula hata tukilala tu akinigusagusa na upaja tu,tayari network inaanza kutafuta mtandao baada ya muda inakamata tunaanza kuchart.
 
Hakikisha siku hiyo mko katika hali ya furaha,hata kabla ya kulala unakuwa unamtupia maneno ya kimahaba.kama mmeshazoweana mwenyewe anajuwa kuwa unataka
 
Back
Top Bottom