Unaanzaje?

Unaanzaje?

Hivi wewe huwa unaanzaje kwa mpenzi, mkeo au mmeo ukiwa unahitaji penzi (mgegedo)??
..

931225_528789617158737_1357165119_n.jpg
 
Teeh teeh kama kitasa na funguo chomeka then fungua kwisha habar

halafu na bado mwanamke hana muda wa kutoka nje ya ndoa...!

nyie mnaobembelezana na kuchombezana kwa slow jams kibao na mijigi jigi ya kizungu, bado mwachapiwa! lols..

mkuu kweli si kweli?
 
Mikao ya kimitego mitego tu na marashi ya pwani vinatosha kumzindua mwenzio kuwa nini unataka.
 
halafu na bado mwanamke hana muda wa kutoka nje ya ndoa...!

nyie mnaobembelezana na kuchombezana kwa slow jams kibao na mijigi jigi ya kizungu, bado mwachapiwa! lols..

mkuu kweli si kweli?
Excel kuchapiwa ni siri ya ndani...
 
Last edited by a moderator:
Hivi wewe huwa unaanzaje kwa mpenzi, mkeo au mmeo ukiwa unahitaji penzi (mgegedo)??
Nikisikia romantic songs najua mpenzi ananihitaji hata siulizi...

ww bwana anakushinda hata mtoto anayenyonya. Kwasababu yeye njaa ikimuanza tu anaanza kupapasa kifua cha mama yake....... Subir ujue bado hujjakua ukikua utajua tu...... Ile lugha ya mwili inaanza
 
Mikao ya kimitego mitego tu na marashi ya pwani vinatosha kumzindua mwenzio kuwa nini unataka.

Yaani nyie? Halafu utakuta mtu kastrip kabaki na chupi tu badala ya kulala ndio kwanza anajiangalia kwenye kioo sijui nywele ajitengeneze,sijui nyusi,atagueka upande huu na huu, sijui anaenda wapi usiku wa saa 4! Kumbe lengo uone maumbile yake uhamasike mwishowe umhimize aje kulala haraka maana ushaaza kupumulia mashine!!
 
Hivi wewe huwa unaanzaje kwa mpenzi, mkeo au mmeo ukiwa unahitaji penzi (mgegedo)?? Nikisikia romantic songs najua mpenzi ananihitaji hata siulizi...
Kwani beberu au jogoo anaanzaje?
 
Hivi wewe huwa unaanzaje kwa mpenzi, mkeo au mmeo ukiwa unahitaji penzi (mgegedo)?? Nikisikia romantic songs najua mpenzi ananihitaji hata siulizi...
Watu wanaanza kwa kutongoza bhana!
 
mwenye macho haambiwi tazama....
0.jpg
 
Back
Top Bottom