MPAMBANAJI.COM
JF-Expert Member
- Mar 2, 2011
- 712
- 332
Kweli imeanza na leo huku Arusha hali ndo noma sana...
sijui wabongo tumepata wapi haka kaidea wakati utafiti unaonyesha wakati wa baridi au sehemu za baridi hamu ya ngono hushukaKa'msimu ka'fertilazation na ma'reproduction ! Mambo ya zeygot! Ma'felopian tube yatakua busy kisenzi !
Ovary zote busy!
siku 3 hujaoga? Mweh mweh kwapa si linatema hapo?
Kwapa lake wameliunga na bomba la gesi ya songo songo.
Tehe, hana hata jiko jamani khaaa!umenikumbusha mbali...enzi zile za utoto afu kuna baridi...unaoga cha mbele tu...mgongo mkavuu!
haya kaoge...tutolee harufu ya BEBERU hapa!
Hahahahahahaaa kameanza na nina mpango wa kuhama mtaa maana huku kwangu hilo zoezi sidhan kama litawezekanaKa'msimu ka'fertilazation na ma'reproduction ! Mambo ya zeygot! Ma'felopian tube yatakua busy kisenzi !
Ovary zote busy!