Unaamini katika Karma, kwamba malipo ni hapahapa duniani?

Kuna watu tumefanyiwa Mambo ya ajabu Sana na watu tuliowaamini na kuwathamini

Kitu kimoja kikubwa nmejifunza kuhusu maisha

Ni kwamba It goes on

Nasamehe nasamehe , nasamehe kwa faida ya moyo wangu

Kama karma IPO sawa

Usikute na Mimi nalipa Mambo ya mzee wangu

Samehe endelea na maisha sifuatilii anaendeleaje

Atajua mwenyewe kikubwa nahakikisha na mafanikio makubwa

You will always be offended by some people at some point in your life. Don’t take it to heart. Don’t keep it inside you. Holding on to hurt and pain will only harm you in the long run. Choose to forgive. Release the baggage of your past. Let it go and let the Almighty heal you!

Even the most "genuine" people can fool you. In this day & age it’s hard to tell who’s a true friend. So you go through life hoping people are being sincere & genuine. But be prepared to be let down. It’s part of life. People will hurt you. Only the Almighty can heal you!
Binafsi sifuatilii yeyote aliyenitenda kama anafanikiwa au mambo yanamuendea kombo. Ikitokea nimejua sawa, nisipojua pia ni sawa. Ila la uhakika ni kuwa, nitakuwa mbali naye kiaiana ili mambo mabaya yasijirudie.
 
KARMA ni maneno ambayo huwafariji watu wengi wanapokuwa katika hali isiyo ya haki au situation fulani yoyote ambayo hawana uwezo wa kudhibiti

habari za KARMA ni idea ya kizamani ambayo haimaanishi kua jambo fulani ni kweli, na hicho unachokidai ni uthibitisho kimenihakikishia maradufu kua KARMA ni mitazamo yenu dhidi ya mambo ambayo hamyaelewi

KWAMBA
Mchizi kamcheat girlfriend wake, wakaachana. halafu mshkaji huyo huyo akaanzisha mahusiano mapya na mwanamke mwingine halafu huyo mwanamke naye amam-cheat msela, wakaachana

Hiyo ndio mnaita KARMA?
...Kitu kama Hicho...!
 
Tena mimi nina mfano halisi...siku moja nikiwa kwa bibi yangu alinipa stori kuwa tajiri mmoja wa mabasi pale wilayan kwake utajiri wake umetokana na walikua wanafanya biashara ya pembe za ndovu akamzulumu mwenzie..huyo tajir japo kafa sahiv lakn zile mali wamerith watoto wake na wanaziendeleza kama kawaida hakuna cha karma wala nini..na unaambiwa huy tajir alidhulumu kwa kuua kabisa na bastola zikasikika mtaa mzima akapelekwa polis akatoka sahiv kizazi chake kinakula mali tu
...Lakini Bado wako hai! Kuna siku TU Karma itafanya kazi yake!
Umeishaambia Hata Kizazi Cha Tatu ama Cha Nne!
Karma is Real, Comrade!!
 
...Lakini Bado wako hai! Kuna siku TU Karma itafanya kazi yake!
Umeishaambia Hata Kizazi Cha Tatu ama Cha Nne!
Karma is Real, Comrade!!
Mnadanganya kabisa mtu akipata matatizo tu et karma hakuna kitu kama hicho.
 
Mnadanganya kabisa mtu akipata matatizo tu et karma hakuna kitu kama hicho.
Ndugu karma is real. Wengi wasichojua karma hufanya kazi kwa kufuata kanuni zake..ukiijua unaweza ichezea tu. Unaweza dhulumu mia mbili kwa mwenye hela mwenzio then ukaenda mnunulia chakula mtu masikini,,,hapa unakuwa umefuta adhabu au pigo lililokuw likurudie. Matajiri wanaijua sana hii style
 
Mm nilidhulumia 200 ml baada ya kupata madini nikaambulia mil 6 jamaa yupo mpaka leo na anaendelea ww uje uniambie mambo ya karma.
 
Mm nilidhulumia 200 ml baada ya kupata madini nikaambulia mil 6 jamaa yupo mpaka leo na anaendelea ww uje uniambie mambo ya karma.
Yes inawezekana. Soma vizuri nilichoandika. Ipo Siri ya watu wanaposema tuwe tunasali. Kiasilia karibia chochote unachofanya kinaweza kukurudia zaidi ya ulivyofanya..kiwe kibaya au kizuri.
Soma vizuri unielewe.

Sasa unaweza fanya kitu kibaya na ukaufuta huo ubaya kabla haujakurudia zaidi ya ulivyofanya. Zipo namna za kufanya hivyo.
Mfano mzuri ni Hilo tukio lililokupata.
 
Back
Top Bottom