Preta
JF-Expert Member
- Nov 28, 2009
- 24,320
- 18,875
Ah wapi. Yaani hujui kichagga wala kiswahili? Ukiwa marangu unazungumza lugha gani? Ukiwa Yaeda Chini au Mang'ola?
Yo no se.....lo siento mi amigo.....
Ah wapi. Yaani hujui kichagga wala kiswahili? Ukiwa marangu unazungumza lugha gani? Ukiwa Yaeda Chini au Mang'ola?
La haula!Wewe ni polyglot! Unamzidi Matthew Youlden. Natamani tukutane nikusaili juu ya hizo lugha 40 plus unazozifahamu.
Umejifunzia wapi? nazipenda sana hizi lugha kwa sasa nimeanza kidogo na Italian.Spanish and Italian........