Vp kuhus wewe... unazungumza lugha ngap?Je wewe waweza kuzungumza kwa ufasaha lugha ngapi? Lugha mbili?(ya kabila lako na kiswahili?) Lugha tatu? (ya kabila lako, kiswahili na kiingereza?) Lugha nne? (ya kikabila, kiswahili, kingereza na kifaransa/kispaniola/........?
Bwana mmoja mwingereza, Matthew Youlden anazungumza lugha tisa kwa ufasaha.
Msikilize kwenye video iliyopo kwenye tovuti hii:
10 Tips And Tricks To Learn Any Language
Kwa kweli Kinyamwezi ni salamu na maneno machache na kusikia mengi. Tatizo la kuzaliwa Ocean road...Ulizaliwa na kukulia mjini sio?Huna lugha ya kienyeji.
Tupo wengi wa namna hiyo.Nimeshagundua kwamba ukuaji wa miji unaua lugha za kienyeji.Wanaotoka vijijini na kuhamia kwenye hiyo miji wanapooa na kuzaa watoto, hawazungumzi na watoto wao kilugha, wanatumia kiswahili tu.Mtoto baba yake Msukuma mama mpare, mtoto hajui kisukuma wala kipare.Ni kiswahili tu.Kwa kweli Kinyamwezi ni salamu na maneno machache na kusikia mengi. Tatizo la kuzaliwa Ocean road...
Ki iraq vip?Spanish and Italian........
Aaa mkuu, hapo ndo penyewe mkuuYaeda Chini kiiraq hakitembei sana zaidi ni kihadzabe.
Lugha yangu ni Google !!!
Mbona umeacha kutaja kichagga, kiswahili na kiingereza?
Tuanze na kigogo
Mbukwenyi
BurunjiMbukwaa.
Ninazisema International lang 4 na za kienyeji makabila 35 ya hapa Tz. Kikikuyu, Kiluhya, Kiganda
Ndiyo njia ya mkato ya kuwasiliana kidigital!!Teh teh teh, umemaliza kbs yani,
#TeamGoogle#