una uwezo wa kuandaa vipindi vya tv?

una uwezo wa kuandaa vipindi vya tv?

Joyce Kiria

Member
Joined
Aug 6, 2013
Posts
50
Reaction score
112
Nimeona niainishe maeneo ambayo tunaitaji watu katika kuboresha Kipindi chetu cha Wanawakelive na pia kujaribu kufikia makundi mbalimbali ya Wanawake...

1. Kuelimisha jamii kuhusu Elimu ya mtoto wa kike (ndoa za utotoni na mimba za utotoni)

2. Kupambana na ukatili wa kijinsia dhidi ya wanawake (vipigo, matusi, n.k)

3. Kujenga uwezo wa kiuchumi kwa wanawake (Ujasiriamali)

4. Elimu ya Uzazi salama (Uzazi wa mpango)

5. Ardhi na Kilimo kwa wanawake

6. Wafanyakazi wa Majumbani

7. Wanaofanya Ukahaba (Sex Workers)

8. Wanawake wenye Ulemavu

9. Watoto..

10. Male Engage - Kushirikisha Wanaume

Hayo ni baadhi ya makundi ya Wanawake ambayo tungependa kuyafikia, hivyo tunatafuta watu ambao wako tayari kushirikiana na Wanawakelive katika kuleta maendeleo kwa Mwanamke na Jamii yetu...

Vigezo:
Uwe unaishi Dar, uwe tayari kufanya kazi kwa kujituma, uwe mbunifu, uwe unapenda kazi za kijamii, uwe mwanamke.

Ukipewa fursa kuboresha Wanawakelive Kwa kutumia muongozo huo hapo juu wa makundi mbalimbali ya WANAWAKE (Chagua kundi moja) utafanya nini ili kuwafikia kikamilifu? Nitumie kwenye email hii info@hawa.or.tz

naomba tutume maombi kwa kufuata muongozo wa hayo makundi hapo juu....

0783 137777
 
Mwanaume vp mdada?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Ungetanua wigo kidogo. Hata mwanaume a aply.
 
pia eleza hicho kituo cha TV ni kipi maana vituo vya tv viko vingi hata hapa kwetu manzese kipo so be specific no need of hiding things coz its all about work be open, kama unafichaficha vitu sasa huyo mtangazaji anenda fanya kazi wapi kama si publicly, achen kufichaficha mambo
 
Karibu jf bestito
nitawasiliana nawe yani mm napenda sana
uwe unaishi dar, uwe tayari kufanya kazi kwa kujituma, uwe mbunifu, uwe unapenda kazi za kijamii, uwe mwanamke. Piga hii namba 0753787126
 
Uwe unaishi Dar, uwe tayari kufanya kazi kwa kujituma, uwe mbunifu, uwe unapenda kazi za kijamii, uwe mwanamke. Piga hii namba 0753787126
siku nyingine ukitoa tangazo la kazi . usiweke sifa ya jinsi kwamba lazima uwe mwanamke ni makosa. tumia neno wanawake watapewa kipao mbele zaidi. . lkn tangazo limesomeka tuko pamoja mdada us mind.
 
Asanteni nyote mliochangia na wote mliotuma email na kupiga simu. nimeboresha hiyo post kufanya wadau walioguswa na watakaoguswa kufanya kazi na sisi, waende moja kwa moja kwenye eneo au kundi ambalo ataona linamfaa... Wasalaam
 
mh umeweka namba za cm na ukipigiwa unajibu dharau yaan kaaz kwelikweli, sasa mtu utajiuliza umeweka namba za nini sasa? Ama kweli maskini akipata ma.ta.ko hulia mbwata. Acha dharua wewe yaani soon unasahau ulipotoka?? Bora ingekua hatukujui mh. Mtu akipiga cm jibu yanayohusika maswala ya kejeli tupa kule.
 
Nimeona niainishe maeneo ambayo tunaitaji watu katika kuboresha Kipindi chetu cha Wanawakelive na pia kujaribu kufikia makundi mbalimbali ya Wanawake...

1. Kuelimisha jamii kuhusu Elimu ya mtoto wa kike (ndoa za utotoni na mimba za utotoni)

2. Kupambana na ukatili wa kijinsia dhidi ya wanawake (vipigo, matusi, n.k)

3. Kujenga uwezo wa kiuchumi kwa wanawake (Ujasiriamali)

4. Elimu ya Uzazi salama (Uzazi wa mpango)

5. Ardhi na Kilimo kwa wanawake

6. Wafanyakazi wa Majumbani

7. Wanaofanya Ukahaba (Sex Workers)

8. Wanawake wenye Ulemavu

9. Watoto..

10. Male Engage - Kushirikisha Wanaume

Hayo ni baadhi ya makundi ya Wanawake ambayo tungependa kuyafikia, hivyo tunatafuta watu ambao wako tayari kushirikiana na Wanawakelive katika kuleta maendeleo kwa Mwanamke na Jamii yetu...

Vigezo:
Uwe unaishi Dar, uwe tayari kufanya kazi kwa kujituma, uwe mbunifu, uwe unapenda kazi za kijamii, uwe mwanamke.

Ukipewa fursa kuboresha Wanawakelive Kwa kutumia muongozo huo hapo juu wa makundi mbalimbali ya WANAWAKE (Chagua kundi moja) utafanya nini ili kuwafikia kikamilifu? Nitumie kwenye email hii info@hawa.or.tz

naomba tutume maombi kwa kufuata muongozo wa hayo makundi hapo juu....

0783 137777
wazo zuri na kazi nzuri unafanya. usisahau kupata nakala ya kitabu hiki uwagawie hao watu kitawasaidia sana. SHERIA KWA KISWAHILI
 
mh umeweka namba za cm na ukipigiwa unajibu dharau yaan kaaz kwelikweli, sasa mtu utajiuliza umeweka namba za nini sasa? Ama kweli maskini akipata ma.ta.ko hulia mbwata. Acha dharua wewe yaani soon unasahau ulipotoka?? Bora ingekua hatukujui mh. Mtu akipiga cm jibu yanayohusika maswala ya kejeli tupa kule.

You hit the nail on the head...:A S-confused1: Ah aha ah-aha...

From your phrase: "...masikini akipata *** ulia mbwata..", masikini have been used as a pronoun. Please, I kindly request you to replace it with a noun, as long as She is a verified user. :tape:
 
Back
Top Bottom