Isenye
JF-Expert Member
- Dec 22, 2024
- 486
- 2,078
Habari za weekend wataalamu?
Kuna tabia inaboa hasa nimeiona hapa kwenye hili jukwaa la mapenzi.
Mtu anaweza akaanzisha mada yake vizuri tu hapa, watu badala wajikite kwenye kuchangia mada wao wanaanza kumuiliza mleta mada eti una umri gani?sasa najiuliza umri wa mtu na mada aliyoleta vina uhusiano gani?
Hii kitu inaboa sana wakuu.