Una uhakika mkitajirika mkeo hatobadilika?

Una uhakika mkitajirika mkeo hatobadilika?

Mkuu baxo inakua haina maana ya kumuoa mwanamke halafu baadhi ya mali zksimamiwe na wengine(ndugu zako).
Wenye busara humfanya mke kua msimamizi mkuu wa mali zote yaani kama muangalizi tu. Hizo ambazo unaona haziwezi unampa mtu mwingine ambae pia mkeo anakua muangalizi tu (hana mamlaka ya kuuza/kuchukua)
Mkuu baki na unachoamini nami nibaki na ninachoamini. Tuishie hapa kwa mjadala huu!.
 
Upo sahihi ukianza kupata pesa chunga Sana kaka wa mke wako ndio hawo wataparangana kukuhesabia siku imetokea juzi jirani tu hapa Sema mwamba amenusurika kifo....saiv a naishi kwa mashaka.
Ni wa wapi huyo mke wake? K'njaro au?!
 
Za jioni hii. Nimekuwa na tafakuri kubwa kidogo wakati huu.

Kuna ndoa zinaishi vizuri na wanawake ni watiifu na zinafikisha mpaka Jubilei ya miaka kadhaa ya kutosha tu.

Tatizo kubwa linaweza kuwa ni uchumi mdogo yaani hawajatajirika.

Hebu jiulize mara chaap mnapata mali muda huu, na umri huu huu wa ujana, je una uhakika utafika uzeeni? Mkeo ataendelea kukupenda? Mkeo hatodanganyika kupanga njama za kukuua?

Leo nimeamini kuwa wakati mwingine watu wanadumu kwa kuwa hawana kitu.

Na ndoa zinadumu kwa kuwa hakuna utajiri bado.

Dunia ya sasa ni ngumu mno kupata mwanamke ambaye hatokubadilikia mkishapata utajiri. Ngumu mno.

Nyie wenzetu matajiri, hivi mnajilindaje na kuuawa na wake zenu hasa wale wenye tamaa na mkaweza kuwepo mpaka sasa na kuishi maisha marefu ikiwemo kuuona uzee angali mkiwa pamoja bado kama mke na mume? Mnajilindaje?
Wanaume mnapenda kusingizia wanawake, basi tafuta utajiri kisha oa, wanaume wangapi wanaoa huku ni makapuku wakutupwa siku Mungu akifungua milango wanawatenda wake zao na kuwaona hawaendani, tafuta pesa sio kuleta visingizio, nani anataka maisha ya tia maji tia maji!
 
Sawa. Sasa je, mke wangu hatobadilika na kuniua? Najilindaje na hili?
Oa ndugu yako unayemfahamu vizuri binamu zako si wapo kaoe huko au uliyenaye mwache ili usiuliwe na mkeo. Au usioe kaa na wazazi wako hapo ili mfurahie utajiri wako
 
Kuna mama mmja aliolewa na jamaa ana pesa sana ,mama kaingia tamaa kamuuwa jamaa mali zote zikaisha na akarudi kwao kijijini kanunua kiwanja kajenga nyumba ya udongo.

Amejaribu kujiuwa mara 4 wapiii[emoji23][emoji23][emoji23] watoto wake wa kumzaa wanamtukana mama umefanya tumekuwa masikini why ulimuuwa baba.

Yaani ule uuwaji ulikuwa wa wazi na wenge lilimshika akasema mwenyewe ,,,,,nilimuuwa mme wangu ona navo teseka.
Hakuwa tu na akili huyo Mama
 
Niache dharau kwa mke au kwa tuliyekuwa wote masikini? Iweke vizuri hii ya tuliokuwa wote masikini (ni ndugu, marafiki au??)

Na nani ataniwekea hiyo sumu?! Mke au rafiki?
Sasa wewe mtafute mkiwa wote Mungu kawabariki unaanza kimdharau haaaa wazee wakunyonga wanakutanguliza [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tutaongea mengi lakini kinachosumbusa ni hali ya kutokujiamini kwa wanawake wengi "insecurities"

Unajua mwanaume ukishakuwa na pesa mafanikio inakuwa ni vyepesi sana kuvutia wanawake wengi wa nje, kiasi kwamba mke wako wa ndoa anakuwa na wasiwasi na nafasi yake kwakua walioko nje ni wengi kuliko yeye mmoja.

Inafikia hatua hata ukimkosea anahisi ni makusudi kwakua una kiburi cha pesa kumbe pengine ni ubinadamu wa kawaida kukosea, kukuonya anashindwa kwakuhofia kuwa utamuacha na unaweza pata mwingine kirahisi tu, kwahiyo anakaa na vinyongo moyoni na kuugulia.

Hapo sasa njia pekee ya kujihakikishia future ni kukuua tu ili amiliki pesa, maana kukuacha anajua haitakuwa pigo kwako badala yake atajitesa mweyewe.

NB: SULUHISHO ni kupata mwanamke anaejiamini juu yako asiyekuwa na wasiwasi wa kuachwa kila muda kwenye akili yake, au kama una utajiri kabla haujaoa hakikisha hauoi mwanamke mwenye hali ya chini sana kiuchumi (anaeona kuoelewa na mwenye pesa ni bahati)

Tajiri oa tajiri au mwenye kipato cha kati.

Nyinyi mkiona matajiri wanakataza watoto wao kuengage na malofa mnadhani ni wabaguzi, kumbe dunia ndivyo jinsi inatakiwa kuwa ili mambo yakae sawa na wao walishaliona hilo kitambo.
Umeielezea vizuri sana. Nakupa 99%
 
Ndio maana warabu wanaona ndugu aisee na utajiri unaendelea ndani ya familia , tofauti na sisi ngozi nyeusi aisee , tunaokotana barabarani mwisho wa siku ukiwa na vipesa kidogo tu kifo kinakunyemelea
Wale wanaheshimiana huku kwetu kadri kipato kinavyo onekana ndiyo wigo unakuwa mpana wa uzinzi
 
Wazi mkuu.
Hiki ndicho kitu huwa ninaelewa.

Hapo kwa matajiri na watoto wao si tu kuoana,hata urafiki tu ni ngumu. Kwa kawaida cc Africans hasa wenye kipato kisicho kidhi mahitaji mara zote tunakesha tukiomba matajiri wapatwe na majanga ili na wao ama hali zao kiuchumi tulingane au ziporomoke zaidi yetu. Sasa fikira za namna hii pia ni uchawi.

Nikirejea kwenye mada mkuu umebainisha kiini cha tatizo. Sasa ikitokea mke anatokea familia masikini kunakuwa na ushawishi wenye msukumo mkubwa kutoka kwa nduguze wakilenga kuja kujitawala hapo kwako na kufanya kila walitakalo.
Na hasa ukioa mke anayetoka familia ambayo mama ndiye mtawala,mwenye sauti ya mamlaka usipokuwa mubabe utalamba mchanga mapema.
Habari za ukabila kwenye jambo hili hazina nafasi tena. Wanawake walio wengi kwa 75% wanatumia mawazo ya marafiki na ndugu zake namna ya kuishi na mme wake, 15% hasira na 10% anatembelea za mme wake.

Bahati mbaya sana miongoni mwetu cc wanaume tunawezesha michakato ya kuua wenzetu ili tupate ka-mseleleko ka kulelewa na mjane.
Siku mbili baada ya matanga mpuuzi anakuja kuhani msiba huku kakumbatia jogoo la kuku basi mke naye anaona anapendwa ilihali mmewe alimuachia mazizi ya mbuzi,mabanda ya kuku na hata vitalu vya uwindaji kule Serengeti.

Alishindwa Adamu,Samson wewe ni nani hawa viumbe?
Ukiisi ana mipango hovu dhidi yako mfute kutoka kwenye daftari la kudumu mapema.
Aya ya mwisho sijakuelewa. Jaribu kuongea kwa uwazi ueleweke. Daftari la kudumu what?!
 
"Alishindwa Adamu,Samson wewe ni nani hawa viumbe?"
[emoji115]
Sasa kwani mimi ni Adam au Samson?! Wale walishindwa kivyao. Kushindwa kwao hakunihusu mimi kwa sababu mimi si Adam, mimi ni Kinyamkela.
 
"Alishindwa Adamu,Samson wewe ni nani hawa viumbe?"
[emoji115]
Sasa kwani mimi ni Adam au Samson?! Wale walishindwa kivyao. Kushindwa kwao hakunihusu mimi kwa sababu mimi si Adam, mimi ni Kinyamkela.
Endelea kukela Kinyamkela.
Hawa ni mama zetu,dada zetu,wake zetu lkn binti zetu. Usiombe akawa na nia hovu dhidi yako km mme wake,utaondolewa tu bila kujali hatima ya watoto wenu wala ukwasi wenu.
 
I concur with you,
Pia mwanamke mpaka awe insecure that means kuna nafasi ambayo mwanaume hajatimiza majukumu yake ya kiumeni, akili ya mwanamke imekuwa wired kupokea maagizo toka kwa mumewe na kumuamini, as a Man when you play your part responsibly, I can guarantee Loyalty from your wife..!!

Either way iwe toka mwanzo, mmoja wenu aliingia kwenye hiyo Ndoa akiwa na Lengo tofauti, hapo sasa the coin will flip on the other side..!

Yes, waowane watu wanaokaribiana kiuwezo ila pia ni lazima kuwa makini na materialistic people, awe wa kiume ama kikeni, maana hali pia ni mbaya kwa jinsia zote na uzuri ni kuwa hizo tabia huonekana toka mwanzo tu ila wengi wetu huwa tunakuwa blinded by love hivyo tunashindwa kuziona hizo dalili ama tunaamua tu kuzipuuzia ndiposa matokeo yake tunakuja yaona mbele ya safari..!!

That's what I was trying to convey, umenielewa vizuri.
 
Back
Top Bottom