Una swali kuhusu ujasiliamali na Marketing/sales niulize

Llio 002

JF-Expert Member
Jul 14, 2015
1,631
2,038
Habari wana bodi,

Unaruhusiwa kuuliza swali lolote linalohusu ujasiriamali na marketing/sales nawaahidi kuwajibu maswali yenu yote kama Mungu atakavyonijaalia. Pia hata kama wewe unaweza kujibu swali flani unakaribishwa kujibu.

Majibu yote nipatapo wasaa.

Asanteni na karibuni
 
nataka kufahamu incentives zilizopo kwenye kituo cha uwekezaji TIC kwa mtanzania anayekuwa muwekezaji. je kuna tax holiday kwa watanzania?
 
Jinsi gani naweza kufanya marketing bussiness, physically or online nikapata faida ya mda mfupi na mda mrefu.
 
Kama unawazo lolote linalo husu viwanda vidogovidogo tadhali nipe maana napenda sana viwanda lakini sioni pakuanzia 0756805540
 
Back
Top Bottom