Maghayo
JF-Expert Member
- Oct 5, 2014
- 14,787
- 32,623
Ebwana wanaJF mzuka!
Binadamu tumeumbwa tofauti. Hii jamii ya Roma romani gypsies nawachukia sana kupita maelezo. Utaishije maisha ya dhiki kuombaomba kulala nje wakati wewe ni raia wa ulaya umezaliwa na kukulia.
Kazi ni nyingi halaf cha ajab afya zao ni nzuri siyo wagonjwa kusema hawawez kufanya Kazi. Mtu unalala nje kwenye baridi na kweli unaridhika na hali hiyo na wewe ni raia wa ulaya.
Hata kama ni genetic issues inatia kinyaa. Mtu kuwa na maisha mazuri ulaya ni maamuz yako to as long as you live legally.
Wasomali wengi ulaya hawafanyi Kazi ila wana maisha mazuri wasafi na hawalali nje.
Cha kuhuzunisha na kuchekesha eti hawa Maromani gypsies nao wanatubagua sisi maniga kwa ajili ya rangi yetu.
Cc Benny Tokyo
Tokyo40
Benny