Mjanja M1 JF-Expert Member Joined Oct 7, 2018 Posts 4,197 Reaction score 14,896 Jan 18, 2024 #1 Contact list yako nani ni mtu maarufu zaidi. Vipi ukimpigia simu, atapokea?
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,739 Reaction score 1,251,352 Jan 18, 2024 #2 Hapana.
Doji MD JF-Expert Member Joined Dec 27, 2019 Posts 2,472 Reaction score 5,331 Jan 19, 2024 #3 Mizengo pinda
Samily de cruze JF-Expert Member Joined Jan 12, 2020 Posts 230 Reaction score 683 Jan 19, 2024 #4 Mjanja M1 said: Contact list yako nani ni mtu maarufu zaidi. View attachment 2875669 Vipi ukimpigia simu, atapokea? Click to expand... Wasira
Mjanja M1 said: Contact list yako nani ni mtu maarufu zaidi. View attachment 2875669 Vipi ukimpigia simu, atapokea? Click to expand... Wasira
Masai wa Town JF-Expert Member Joined Apr 9, 2017 Posts 6,715 Reaction score 24,511 Jan 19, 2024 #5 namba za watu maarufu zinapatikana mitandaoni kwahiyo siyo issues
itakiamo JF-Expert Member Joined Nov 1, 2014 Posts 1,087 Reaction score 1,896 Jan 21, 2024 #6 Wengi Sana, na zote nimezipata Mwaka 2023
The Eric JF-Expert Member Joined Feb 23, 2019 Posts 6,603 Reaction score 11,321 Jan 21, 2024 #7 Kuwa nazo hazisaidii kama huna issue nao kama kazi au biashara....
Shin Lim JF-Expert Member Joined Mar 27, 2012 Posts 8,320 Reaction score 15,328 Jan 21, 2024 #8 Nilikuwaga nayo ya Sir100 ila kabla hajawa simple. Ya sabufa aliyepita nadhani ninayo mpaka sasa.
mrangi JF-Expert Member Joined Feb 19, 2014 Posts 95,846 Reaction score 136,744 Jan 22, 2024 #9 Wengi tu Kasoro wasanii tu Ova
cocastic JF-Expert Member Joined Nov 30, 2019 Posts 116,420 Reaction score 188,162 Jan 22, 2024 #10 Mello Na wengineo, kwenye siasa na burudani.
Tresor Mandala JF-Expert Member Joined Aug 20, 2010 Posts 45,363 Reaction score 95,754 Jan 22, 2024 #11 Tresor Mabi Mputu Joseph kabila Robert kidiaba
Mwizukulu mgikuru JF-Expert Member Joined Oct 21, 2021 Posts 6,627 Reaction score 15,739 Jan 22, 2024 #12 ninazo nyingi sana