ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 17,748
- 42,218
- Thread starter
-
- #501
Nilitoka njee mpka mapokezi nikamuambia mhudumu alikua mdada izo kelele zimezidi nashindwa Kulala akasema amezoea nikatoka njee nikakaa karibu nusuu kurudi wamemaliza🙌🙌🙌Kwahiyo ikawaje mjukuu ?
Unapanic kwenye starehe ya watu bintiNilitoka njee mpka mapokezi nikamuambia mhudumu alikua mdada izo kelele zimezidi nashindwa Kulala akasema amezoea nikatoka njee nikakaa karibu nusuu kurudi wamemaliza🙌🙌🙌
Nijua ku panic ile siku
KeleleeUnapanic kwenye starehe ya watu binti
Kelelee
Mm namgonjea meghan markleNdio waliopo
InshaAllah japo kuna mda juhudi hazizidi kudraMm namgonjea meghan markle
Ndoho mwanike, naledaka bha kwenuku, bha kijijini batena amsha amsha. Naledaka WA kwenuku ila abhize nsumba na alena maadili ya chizaBebe shokela nke o kojiji duhu! Yomba na mamiyo okopandike nke o wiza no
Nu bebe uliwa cheneko mwanike?Bape! Brown basoga ba wiza😅
Okay lete nyagi na tonic
Mtu unamheshimu vizuri kumbe ni msukuma🤣Ndoho mwanike, naledaka bha kwenuku, bha kijijini batena amsha amsha. Naledaka WA kwenuku ila abhize nsumba na alena maadili ya chiza
Nu bebe ukiwa cheneko mwanike?
Mwanike, mapenze ga wiza yabizile gha khale duhu. Bhanike bengi chenga chenga duhuNdio mapenzi halisi geneyo🤣
Sasa wewe unataka nani akuletee kazini chakula na baiskeli wenzie wanasukuma bm na anaconda huko😅 ukiachika kilio chake cha mbwa koko👿
Hongera kuuona mchana
mzee..Kweli watu wana bahati, wanapewa lakini bado wanatangaza
umeona kuniumbua haitoshi sasa unataka kuja live sio🤔Wakati mwenzao huku nina miezi ya kutosha sijaona ndani jameni 😜
Ulisema utaniletea Kiko eeh, fanya basi mpango mjukuu, baridi ni kali huku ujue 😉
Kwa kweli ni kudra tu.InshaAllah japo kuna mda juhudi hazizidi kudra
Sie wengine hatuliki dadaAnaanzaje kufa wajukuu wote mpo?
hahaha olotaga obhebheNdoho mwanike, naledaka bha kwenuku, bha kijijini batena amsha amsha. Naledaka WA kwenuku ila abhize nsumba na alena maadili ya chiza
kinehe?Nu bebe uliwa cheneko mwanike?
Damn it, niache na kabila langu. I love being sukuma. Was born ngosha will die ngoshaMtu unamheshimu vizuri kumbe ni msukuma🤣
Kumbe wasukuma hawapashwi kuheshimiwa kabisaMtu unamheshimu vizuri kumbe ni msukuma🤣