Una mshahara wa laki nane, kwanini uchukue mkopo na kuanza kukatwa karibu laki nne?

Million 10 ya leo si sawa na Million 10 ya mwaka 2030.

Nauli za daladala zitakuwa 2500 au zaidi
Unaongea mkopo..ungesema mortgage ukaona kwanza...mortgage unalipa mara 2 YA hela uliyocbukua Na watu bado Wana hukua

Yaani udundulizi kuweka milion 18 Kwa mipaka mi5 ..hivi unajua maana YA Shida mkuu..just imagine umeweka Akiba hiyo..Kisha mtoto wako akaugua saana hapo ni mwaka Wa 3 wa saving..una milion 7 ..Na mtoto matibabu yanahitaji atalist 6 milion Je utaacha mtoto afe au utaendelea kusave bila kuchukua mtoto
 
Yah hela ya pamoja ina thamani kuliko hela ya mafungu
 


Point kubwa sana hii
 
Mkuu kwahiyo ukikopa na ukawa ile hela imeshatumika na sasa mshahara ni laki 4+ ndio utaweza kumhudumia huyo mtoto?

Wekeza pesa huko UTT kama ni muajiriwa bila kuwa na mpango wa kuigusa hata itokee nini. Hiyo hela unaihesabu kama haipo vile.
 
Time value of money, wanahitaji pesa SASA HIVI, sio miaka mitano ijayo.

Hata kwenye biashara Hakuna Tajiri aliyetoboa kwa kusave (kudunduliza).

Tatizo ni kukopa kisha kuiwekeza kwa kitu ambacho hakikuingizii faida, mfano unakopa unanunua gari. Miaka mitano ijayo gari yako haitafika ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
 
Mkuu mtu yeyote asiyeweza ku save na kukuza hela kwa kudunduliza hata akipewa milioni 100 atazipoteza tu. Hakuna tajiri anayedumu asiyejua kuishi maisha ya kujibana.
 
We fala, nina 30m UTT mwaka wa 4 huu, ambayo napata kama 467,000 kwa mwezi, is pretty much useless, kama ningeizungusha hiyo hela kwa Boda boda ningepata zaidi.
Wewe kwanza ni muongo, mimi nina 40m+ liquid fund na ninapata around 370k kwa mwezi, haiwezekani wewe na 30m upate 467k.

UTT ni uwekezaji, ukiona haufai nenda kafanye biashara.
 
Wewe kwanza ni muongo, mimi nina 40m+ liquid fund na ninapata around 370k kwa mwezi, haiwezekani wewe na 30m upate 467k.

UTT ni uwekezaji, ukiona haufai nenda kafanye biashara.


Okay, wala sina sababu ya kujibishana na wewe, na wala hatushindani, we endelea kuweka 40m upate 370k. Ni kweli mimi nasema uongo, Nyie waajiriwa ni mafala kabisa.

We fala:

- Unajua terms zangu ni zipi? Au mimi na wewe tulifanya utaratibu pamoja, tukajaza pamoja? Miaka pamoja na kila kitu? Akili huna, unakurupuka tu.

Mimi I have an online access naweza hata kukuwekea hapa ukaona trend na kila kitu online, ukaumbuka, ujuaji mwingi usiokusaidia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ