Una mechi kesho usiku?

Kwani zamani za mababu zetu nao walikuwa wanafanya haya?

Zamani zipi unazozungumzia wewe? Manake vyote hivyo hapo juu ndio hivyohivyo tangu zamani isipokuwa vimeboreshwa tu mfano badala ya kula mua unakunywa juice yake, badala ya nyama choma ni foil, na badala ya valuer ni chang'aa aka machozi ya simba ngumu kumesa
 
kwa wiki itakuwa 30,000 x 4=120,000 au 30000x3=90000,maana wanashauri lazima uingie kwenye kitobo walau mara 4 au 3 kwa wiki.
 
Kweli mkuu, wengine tukiona vile vigezo vimetimia basi balaa moja kwa moja. Hasa kile kigezo kikuu...

Hapa kazi tu mkuu... mambo gani ya kujiandaa utadhani unaenda kupigana na johnsina .. vitu vidogo hivyo
 
Hapa kazi tu mkuu... mambo gani ya kujiandaa utadhani unaenda kupigana na johnsina .. vitu vidogo hivyo

Tunatofautiana lakini mjue hilo na ndo maana hata tiba zake ndo habari ya mujini
 
kwa wiki itakuwa 30,000 x 4=120,000 au 30000x3=90000,maana wanashauri lazima uingie kwenye kitobo walau mara 4 au 3 kwa wiki.

Kwa Mwezi ni 360k hadi 480k kuwekeza kwenye uzinzi halafu wanalalamika mshahara hauwatoshi.
 
Hyo tayar ni hofu, kujiandaa kote huko kama unaenda kukimbia crosscountry za jwtz kwann?

Tatizo mnapenda michips broira kuwa na mashine automatic mda wowte ipo active kwa mashambulizi
 
hiyo ni mechi gani mkuu, maana mimi ni mchezaji wa Simba na this weekend tuna game na wale vilaza wa jangwani
 
hiyo ni mechi gani mkuu, maana mimi ni mchezaji wa Simba na this weekend tuna game na wale vilaza wa jangwani

Kula hiyo mwanangu kesho tuwachabange 5-0 tena...!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…