"Una maswali mengi kwani wewe ni polisi?!" | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

"Una maswali mengi kwani wewe ni polisi?!"

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by mathematics, Sep 5, 2012.

 1. mathematics

  mathematics JF-Expert Member

  #1
  Sep 5, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 3,292
  Likes Received: 99
  Trophy Points: 145
  hahahaha,
  " una maswali mengi kwani wewe ni polis?! " --Ameimba DNA wa KENYA
  hii mistari ya mwimbo huo huwa inanifurahisha sana, kila nikiisikia huwa inanichekesha!

  mistari ya nyimbo gani na wewe ukisikia huwa unajikuta unacheka mwenyewe?
   
 2. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #2
  Sep 5, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,747
  Likes Received: 12,839
  Trophy Points: 280
  Karibu sana! Za masiku?
   
 3. mathematics

  mathematics JF-Expert Member

  #3
  Sep 5, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 3,292
  Likes Received: 99
  Trophy Points: 145
  mistari ya nyimbo gani na wewe ukisikia huwa unajikuta unacheka mwenyewe?

  njema tu wakili ruttashobolwa
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 4. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #4
  Sep 5, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Majirani wenzangu naomba mnisaidie
  Mkanyeni mwanangu labda atawasikieni
  Nimemkanya aache wizi kanishinda , labda nyie wenzangu mnaweza kunisadia .
  Ewe mwana tulia tukuelezee
  Tabia uliyonayo ya wizi haikufaii
  Tafuta kazi itakayoweza kukusaidia na nduguzo,
  Ulipelekwa shule elimu umepata .......
   
 5. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #5
  Sep 5, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,874
  Likes Received: 6,228
  Trophy Points: 280
  nani kakwambia polisi sikumhizi wanauliza maswali?

  Polisi ni mwendo wa kushusha kipondo tu
   
 6. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #6
  Sep 5, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,341
  Likes Received: 2,669
  Trophy Points: 280
  "najituliza kwako kasuku eenh..." hii kitu nikiisikia namkumbukaje mama watoto measkron popote alipo
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 7. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #7
  Sep 5, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,858
  Likes Received: 1,132
  Trophy Points: 280
  hellow daddy, how r u. mummy yuko poa alifika huku salama. ndo anaagana hapa na mkwewe C6 ili akalale. . . anakutakia ucku mwema. nasi pia tunakutakia ucku mwema!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 8. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #8
  Sep 5, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,858
  Likes Received: 1,132
  Trophy Points: 280
  me huuapa "raha ya tunda unipe nikupe, mapenzi hayataki karaha najua unanipenda mimi mwenzio ninasikia raha" umfikie my huz C6 akiwa hapa karibu yangu. . . .
  ujumbe: ushikwapo shikamana!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 9. j

  jeneneke JF-Expert Member

  #9
  Sep 5, 2012
  Joined: Jul 5, 2012
  Messages: 760
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  Madam Ritha fungua njia.o kitoto cha anza tambaa,au unataka zilipendwa?
   
 10. NEW NOEL

  NEW NOEL JF-Expert Member

  #10
  Sep 5, 2012
  Joined: May 21, 2011
  Messages: 837
  Likes Received: 110
  Trophy Points: 60
  ''unajiita legendary na bi kidude ajiite nani?'' kama sijakosea hiyo ni kutoka kwa Ney wa mitego.
   
 11. mathematics

  mathematics JF-Expert Member

  #11
  Sep 5, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 3,292
  Likes Received: 99
  Trophy Points: 145
  " eti wanasema penzi lako limeni-oversize"

  hahaha

  mistari hiyo ya mwimbo huo wa Bongofleva ameimba sijui nani yule, nayo nikisika huo nacheka sana,
   
 12. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #12
  Sep 6, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,341
  Likes Received: 2,669
  Trophy Points: 280
  ooh! my princess nilipitiwa na usingizi, ndio kwanza naipata message yako...msalimie sana mwandani wa moyo wangu, na mwanangu C6
   
 13. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #13
  Sep 6, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,858
  Likes Received: 1,132
  Trophy Points: 280
  zimefika bila çhenga!
   
 14. dubu

  dubu JF-Expert Member

  #14
  Sep 6, 2012
  Joined: Oct 18, 2011
  Messages: 3,072
  Likes Received: 430
  Trophy Points: 180
  peace to my mam, peace to my love peace to every one,
  Hata kama sina hela nikiwa na love bado tupo pamoja. by stive r'n'b.
   
 15. Remmy

  Remmy JF-Expert Member

  #15
  Sep 6, 2012
  Joined: Jun 9, 2009
  Messages: 4,718
  Likes Received: 146
  Trophy Points: 160
  wanaojuiza wako bongo movie
   
Loading...