Una malengo na mimi.?

Una malengo na mimi.?

Yes nililigundua hilo ndo mana nkamuuliza ilo swali maana nisije kuwa nakataa wakaka.walio serious kisa nashikiria mahusiano mfu maana hataki hata umkumbatie afu nikiwa nae full kunitoa kasoro na kunitemea shit kisa mwenzangu kaanza shika vihela....

am better here

Pole bhana me huwa na pretend sana hta dem kujua namcheat ngum sana

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
We mjibu unayo malengo naye hata kama hauna malengo nae, wewe tunga uongo wowote ule ilimradi aridhike mtoto keshakuelewa hapo anatafuta sababu ya kukupa mzigo uulee...

Am done kitambo sana

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Habari zenu ndugu zangu wana JF.

Leo nimekutwa na mazito haswaaa, swali gumu sana hili kulijibu. Wengi najua mshapitia au tunapitia kwa relationships tofauti na huwa tunakutana nayo.

Demu wangu ananiuliza kama nina malengo na yeye sijui hata nimwambiaje hapa jamani. Na mwanamke ukimwmbia una malengo naye ataanza kusumbua. Nimjibuje?

Mapenzi haya shikamooo!

Sent from my iPhone using JamiiForums
Malengo(future plan) katika mahusiano n lazma yawepo,unaweza ukawa na lengo la kuwa nae au lengo la kumuacha kwa baadae,ukiulizwa una lengo na mm,wew mjibu ndio nna malengo na wew,sasa akikuuliza una malengo mabaya au mazur hapo ndo utata,ila dada zetu wanaishia kuuliza una malengo nae pasi na kujua kuwa kutumiwa na kuachwa pia n lengo kwa mwanaume,baadae ukimuacha anakutuhumu umemdanganya,madada hlo swali msipende kuuliza hutojibiwa hapana kamwe,"una malengo na mm?",ujibiwe "sina malengo na wewe",kaaamwe hutolisikia hlo
 
Hadi umeleta uzi huku ni dhahiri kuwa hauna, hivyo kuwa muwazi mjibu tu kuwa hauna.
 
Malengo(future plan) katika mahusiano n lazma yawepo,unaweza ukawa na lengo la kuwa nae au lengo la kumuacha kwa baadae,ukiulizwa una lengo na mm,wew mjibu ndio nna malengo na wew,sasa akikuuliza una malengo mabaya au mazur hapo ndo utata,ila dada zetu wanaishia kuuliza una malengo nae pasi na kujua kuwa kutumiwa na kuachwa pia n lengo kwa mwanaume,baadae ukimuacha anakutuhumu umemdanganya,madada hlo swali msipende kuuliza hutojibiwa hapana kamwe,"una malengo na mm?",ujibiwe "sina malengo na wewe",kaaamwe hutolisikia hlo

Facts

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mbona swali rahisi kabisa kwa bidada unaempenda na una malengo nae hata kama huna mpango wa kutangaza nia hivi karibuni...jibu ni ndio nina malengo na wewe ya muda mrefu alafu unasubiria swali la pili ambalo lazima litafuata (wakati mwingine tunaulizwa maswali baada ya kuona mtu hana dalili yoyote na wakati mwingine unakuta anajifichaficha yaani hawi aka kujiachia anapokuwa na mpenzi wake)
 
Hapo unakuta kuna mtu kaona unampotezea muda anataka kumbeba jumla kama unampenda mwambie lililoko moyoni mwako
Kumbe huwa inakuwa ukiulizwa,???? Maana kuna mjanja mwingine ataka ang'oe jimbo
 
Ukitaka luenjoy mapenzi uwe muwazi tokea mwanzo maswali km haya kama usipoyajibu kwa uwazi na ukweli hamtofika mbali

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahah mapenzi hayataki ukweli, Mdanganye mpaka atakapokuja kuelewa ukweli atakuwa kasha kuzoea. Kuna jamaa hajasoma zaidi ya sekondari yani O level lakini ni nadhifu na mtanashati, ana demu wake kasoma na anampenda sana, lakini siku moja aliniambia unajua demu wangu anajua nimesoma hadi chuo! nikamuuliza ulimwambia au anahisi? akasema anahisi na anaelewa hivyo. Lakini anajua jamaa hana kazi ila anahisi ni ugumu wa ajira. Jamaa kazaa na demu, na demu ana mtake care huyu jamaa akiamini iko siku jamaa atapata kazi watatusua. Huyu jamaa anasema kwasababu aliishaamini nimesoma nami siwezi kusema sijasoma, nitaenda naye hivi hivi siku aakigundua akiniacha kivyake. But still wako pamoja mtoto mmoja, wakipata wawili na kuendelea, unadhani hata akaijua ukweli atamuacha?
 
Demu haitakiw umwambie ukwel

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom