Me kuna mwanaume nlikua nae since 2016 ila hatukuwahi kuwa na amani in mchezo wa kusalitiana kusameheana kuachana kuludiana vipindi vigumu na vyepesi mwenzangu kwa upande wake kafanikiwa kiasi ana biashara zake usafiri (pikipiki) na nyumba kajenga japo hajawahi nionesha....sasa mwenzangu akiwa na nyege break ya kwanza kwangu mmmh nkaona mbona mshkaji apa tunafanya mapenzi tu lkn kwenye mambo mengine yupo kivyake na wengineo nkaamua kumuuliza kama ananiona kwenye future yake kama me tutafika mbali kama mkewe akabaki ameduwaa....akasema cwezi kukujibu saiz kaondoka kesho yake akanipigia cm kua tuwe marafiki mpka atakapo badilisha mawazo.... Nkasema poa kila MTU kashika 50 zake....
Nilimuuliza ivo ili nijue nipo position gani kwake na kweli kumbe mtu anakuona kama friend ake tu nkashukuru Mungu nkaendelea na life langu nw najifeel peace ....
am better here