Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,285
- 39,490
- Thread starter
- #21
kwani malengo ni nini?
ukiwa na jibu la hili basi hauwezi kukosa cha kumjibu huyo mpenzi wako.
♂️
♂️
♂️Sent from my iPhone using JamiiForums
kwani malengo ni nini?
ukiwa na jibu la hili basi hauwezi kukosa cha kumjibu huyo mpenzi wako.
♂️
♂️
♂️










Jibu tu unamalengo naye,ila bado unamchunguza vizuri,hata Mungu ametuahidi kuwa vichwa na sio mikia ila anahitaji utii amri zake
Sent using Jamii Forums mobile app
Kam ujawahi kuwaza kuhusu hilo ukwel wa moyo n kwamb huna malengo nae.Hata sijawai waza hili leo ndo nakutana na hili swal but i love her
Sent from my iPhone using JamiiForums
Kam ujawahi kuwaza kuhusu hilo ukwel wa moyo n kwamb huna malengo nae.
N mpaka unapost huu inamaanisha utaki kusema kuwa huna malengo nae. Ila unatafuta uongo wa kumwambia kupitia sisi
Sent using Jamii Forums mobile app
Leo kwa mara ya kwanza mkuu naona umejibu kistaarabu kupita maelezo. Hongera mzee babaUkitaka luenjoy mapenzi uwe muwazi tokea mwanzo maswali km haya kama usipoyajibu kwa uwazi na ukweli hamtofika mbali
Sent using Jamii Forums mobile app
Aiseeee, its a tricky question which needs satisfactory answer...na huenda kuna external motive(s).
Aiseeee, its a tricky question which needs satisfactory answer...na huenda kuna external motive(s).
Sent using Jamii Forums mobile app
Linahitaji utulivu wa akili kuliuliza maana mara nyingi muulizaji ni ngumu sana kusahau majibu utayotoa sasa ukikurupuka kuna siku utaumbuka.
Shule ishafunguliwaHabari zenu ndugu zang wana Jf. Leo nmekutwa na mazito haswaaa swali gumu sana hili kulijib weng najua mshapitia au tunapitia kwa relationships tofauti na huwa tunakutana nayo.
Demu wangu ananiuliza kama nina malengo na yeye sijui hata nimwambiaje hapa jamani. Na mwanamke ukimwmbia una malengo naye ataanza kusumbua nimjibuje.mapenz haya shikamooo!!
Sent from my iPhone using JamiiForums