GenuineMan
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 7,700
- 18,061
Kuna wadada wengine hata kushauriana nae huwezi, kusaidiana ni one way tuu.Malengo sio lazima iwe ndoa pekee, anaweza kuwa rafiki tu wa kawaida (kushauriana, kusaidizana).
Ukiulizwa ni bora useme, hata kama unataka kumchezea ukiulizwa sema..
Mi nikimuuliza mwanaume hilo swali akishindwa kujibu basi safari inaishia hapo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ukiulizwa ni bora useme, hata kama unataka kumchezea ukiulizwa sema..
Mi nikimuuliza mwanaume hilo swali akishindwa kujibu basi safari inaishia hapo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na iwe kweli.Mjibu lengo langu ni kukupa hela ya saloon na vocha kila utakapohitaji...[emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na iwe kweli.
We ni mrembo kumbe?!bora tu uniambie ukweli mapema
Wa hivo dawa huwa kuwadanganya tu. Huwa hawapo serious. Huwezi kuuliza swali la kijinga nimekutongoza leo. Mwambie nataka nikuoe tuwe mke na mmeHakuna Swali napata shida kulijibu kama hili.
Mdada(Demu), ambae nimemfuata kwa ajili ya uhusiano wa muda anaponiuliza swali hili huwa nashindwa nijibu nini.
Naogopa kumwambia ukweli, na naogopa kumwambia kitu ambacho anapenda( ndoa).
Pongezi kwa wadada(mademu) ambao huwa hawaulizi swali hili. Huwa wanajiongeza wenyewe.
Mi huyo niseme nataka kukuchezea ili usinipe unyevu? 🤣Ukiulizwa ni bora useme, hata kama unataka kumchezea ukiulizwa sema..
Mi nikimuuliza mwanaume hilo swali akishindwa kujibu basi safari inaishia hapo
Lengo ni kufanya matusi kwanza nikiridhika tunakuwa baba na mama.bora tu uniambie ukweli mapema
HAPO AKIRUKA KIUNZI UJUE ATAKUWA JINI HUYO KIMBIAMjibu lengo langu ni kukupa hela ya saloon na vocha kila utakapohitaji...🤣