GenuineMan
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 7,068
- 16,380
Hakuna Swali napata shida kulijibu kama hili.
Mdada(Demu), ambae nimemfuata kwa ajili ya uhusiano wa muda anaponiuliza swali hili huwa nashindwa nijibu nini.
Naogopa kumwambia ukweli, na naogopa kumwambia kitu ambacho anapenda( ndoa).
Pongezi kwa wadada(mademu) ambao huwa hawaulizi swali hili. Huwa wanajiongeza wenyewe.