Una malengo gani mwaka huu

Una malengo gani mwaka huu

panga malengo yako ndani ya miezi minne minne utakuwa na mafaniko zaidi kuliko kusubiri mwishoni mwa mwaka.

Iko hivi:

January - April.... (Mfano) Kununua Kiwanja
May - Augost.... (mfano) hujafanya kitu
September - December (mfano)
kujenga msingi
 
Back
Top Bottom