Una malengo gani mwaka huu

Una malengo gani mwaka huu

nipate mume nimechoka kulala mwenyewe. teheeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!
 
Mambo twin.......unataka tulime lami huku town twin.......kwanza unaendeleaje......?

Maongezi yenu nilitaka niwaambie, "Get a room" ila nyie ata kichuminy panafaa tu.

Mmenifanya hata nisahau malengo yangu...


I really wish kurudi shule...so much more than kupanda cheo yani! O Lord...
 
Umeona bora unikimbie...uniache peke yangu mpenzi, utanifanya nilieeee, nikikumbuka zile raha za .............

usijali nakuachia kabinti kanaitwa mango g kako under 20 katakufaa sana
 
Last edited by a moderator:
Maongezi yenu nilitaka niwaambie, "Get a room" ila nyie ata kichuminy panafaa tu.

Mmenifanya hata nisahau malengo yangu...


I really wish kurudi shule...so much more than kupanda cheo yani! O Lord...

Hata hivyo tulihama........kwani umetuona tena........?
 
Maongezi yenu nilitaka niwaambie, "Get a room" ila nyie ata kichuminy panafaa tu.

Mmenifanya hata nisahau malengo yangu...


I really wish kurudi shule...so much more than kupanda cheo yani! O Lord...

Malengo yako huwezi kuyasahau mkuu mentor....

Hata hivyo elimu haina mwisho, siku hizi kuna evening class meku.
 
Last edited by a moderator:
Usinpoteze maboya...me want you! Cc: Nkwela Ntuzu.







Nimewasoma vyema...endeleeni!

Na sasa ninaweza kukujibu ninaendelea vyema wawae...!


Wewe Mentor wataka fanya nini? Ntamuita dada yng aone unamwambia miss neddy wamtaka wewe?
 
Last edited by a moderator:
Ma inyi ngileicho kuro.......kokoya nyi uro.......leka kiwe kuro.........

Kenjo kunu numa ya numba (pm) ngikuwewerie kindo...[/QUOTE]


We mshawa unamwambia azunguke nyuma ya nyumba umwambie nini tena?
 
Naona wanagonganisha lugha! Nauliza na Mimi niwaite ndugu zangu tugonganishe lugha hapa? Niwaite?

AHAHAH TUTAWAFUNIKA MBAYA! ila usimwite yule 'beautiful' asije akaniacha aisee...!
 
AHAHAH TUTAWAFUNIKA MBAYA! ila usimwite yule 'beautiful' asije akaniacha aisee...!


Mkuu tutatumia mbinu za Mourinho za maneno! Tutawachekesha sn Alafu Hapo Hapo tunagonga kigamboshi! Ukibisha tu hili namuita sasaivi huyo mrembo akualibie!
 
Kenjo kunu numa ya numba (pm) ngikuwewerie kindo...


We mshawa unamwambia azunguke nyuma ya nyumba umwambie nini tena?[/QUOTE]

Mkuu nilikua namkaribisha aje arie mbege maana hapa niliona hawachelewi kusema haina tbs....
 
We mshawa unamwambia azunguke nyuma ya nyumba umwambie nini tena?

Mkuu nilikua namkaribisha aje arie mbege maana hapa niliona hawachelewi kusema haina tbs....[/QUOTE]


Ha ha ha ha! Akinywa mbege huko nyuma ndio uanze kumdanganya?
 
Back
Top Bottom