Una laaana au unatafuta nini mwenzetu???

SINGLE RASHID

Member
Joined
Nov 8, 2012
Posts
71
Reaction score
15
Habari barazani,
Hivi wandugu mwenzenu nina mambo yananichanganya sana....Hivi haya mambo ya wanamuziki wetu haswa hawa bongo fleva kuvaa visuluari vya kike huku BOXER {CHUP} zinaonekana ndo wana maanisha nini? pili tabia hii ya vijana kupiga picha za UCHI na kuzitupia kwenye mitandao ndo nini? au una mpiga picha demu wako alafu ukiachana nae unamtupia kwenye mitandao ndo nini? mi cjaelewa hapa....

NAWAKILISHA.
 
There is nothing much to it than youthful indiscretions.
 
Habari barazani,
Hivi wandugu mwenzenu nina mambo yananichanganya sana....Hivi haya mambo ya wanamuziki wetu haswa hawa bongo fleva kuvaa visuluari vya kike huku BOXER {CHUP} zinaonekana ndo wana maanisha nini? pili tabia hii ya vijana kupiga picha za UCHI na kuzitupia kwenye mitandao ndo nini? au una mpiga picha demu wako alafu ukiachana nae unamtupia kwenye mitandao ndo nini? mi cjaelewa hapa....

NAWAKILISHA.
I just wrote that topic waw
 
Hivyo ni moja vya viashirizi vya
*Insanity!
*Un sound Mind
 
Unajua each generation think it's better than generation before it and that no generation will come after it!!..but i think mostly, those who criticize this generation they forget who raised it!
 
Yaani wewe ugomvi wako kama wa jogoo, kila mkikutana mnaanza upya. Mwenzio alipotea kwanza kupoza machungu, muache tujadili vyupi na vikalio kama ngumi vya kina almas
Karibu sana NN. Pole sana naona Jaluo kamfanya vibaya Romney.
 
Habari barazani,
Hivi wandugu mwenzenu nina mambo yananichanganya sana....Hivi haya mambo ya wanamuziki wetu haswa hawa bongo fleva kuvaa visuluari vya kike huku BOXER {CHUP} zinaonekana ndo wana maanisha nini? pili tabia hii ya vijana kupiga picha za UCHI na kuzitupia kwenye mitandao ndo nini? au una mpiga picha demu wako alafu ukiachana nae unamtupia kwenye mitandao ndo nini? mi cjaelewa hapa....

NAWAKILISHA.

Ni ulimbukeni na utoto tu!!!!!!!
 
Back
Top Bottom