Una kipawa gani?




Thibitisha mkuu hapo nilipo bold
 
Naomba nkukabidhi mdeni wangu anapiga chenga kunilipa deni langu[emoji22]
 
Kuogelea ni kipawa!? Au mtu unajifunza labda sijaelewa! Kwamfano mtoto anakua amezaliwa na kipawa cha kuimba tangu utotoni yeye anaimba tu akianza kupata akili anaanza kutunga nyimbo! Ndio mm najua hivyo
 
Huruma sijui ndo kujali maana mtu akiwa na shida naumia nakosa amani[emoji27]
 
Ushawishi wa face2face unamaanisha, wa kwenye maandishi huwezi ama?
Naweza sasa kw swali lako kusema nithibitishe hilo siwezi kuthibitisha kwa kitu ambacho hakipo, ina maana kuwa ushawishi utadhihirika pale utakapo nipa jukumu la ushawishi ila hii ya kusema nithibitishe inaniwia ugumu kuthibitisha kitu ambacho hakipo.

Ni kitu kinachoenda na vitendo mkuu.
 
poa sana mkuu
 
Kipawa changu ni uwezo wa kutembea na kuku pamoja na mayai yake
 
Kipawa changu umbea tu, This is not good tho,but ndio kipawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…