Una kipawa gani?

Aisee kuigiza hapa ni balaa,ila sikuwahi kukitumia
 
Natambua fikra za MTU kwa kumwangalia tu. Haihitaji anieleze. Nikimuona tu physically basi. Sikusomea na wala si kwa dawa.
Naajiuliza sana no uwezo gani Mola alinipa
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] sipati picha zile hotuba mubashara unakuwa umeshajua leo nani anapewa michambo yake [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Umeshinda nishawishi hata kusema kipawa changu.
 
Natambua fikra za MTU kwa kumwangalia tu. Haihitaji anieleze. Nikimuona tu physically basi. Sikusomea na wala si kwa dawa.
Naajiuliza sana no uwezo gani Mola alinipa
Lazima urakuwa muongo
 
Umeshinda nishawishi hata kusema kipawa changu.
Huo pia ni ushawishi. Maana usingekuwa ushawishi ungeandika kipawa chako ila nimekushawishi hadi umeshindwa kuandika..
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hicho sio kipawa
 
Aisee hii ni bonge ya thread kama tutakua serious..mm nina kipawa cha ajabu sana,hata niwe na shida kiasi gani nitapata hela tu ya kutatua hiyo shida..yaani ni kama hela inanifataga yenyewe...tena wakati mwingine najua kabisa simu yangu ikiita ni hela tu..of course nafanya biashara,sijawahi feli biashara yoyote nayoianzisha au kuweka hela
 
Safi sana Mungu akupe zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…