Mbu
JF-Expert Member
- Jan 11, 2007
- 12,753
- 7,845
Mmmhhhh!!! Nina wasiwasi na umri wa huyo mtoto kuweza kufanya anavyodaiwa alikutwa anafanya. Umri wa mwaka mmoja? Au umri wa huyo mtoto umekosewa?
Uliyeleta hii post, hebe confirm vizuri umri wa huyo mtoto!!! La sivyo ninashindwa kuamini kwamba hii ni story ya kutunga tu.
TibaHii imekaa kama fiction vile.Ni kweli Tiba najiuliza maswali mengi yanazunguka kichwani huyo mtoto wa Mwaka mmoja ameweza kufindishwaje hako ka mchezo
...mnashangaa?
Unashangaa nini..........??? mbona katoto ka siku mbili kanaweza kunyonya ziwa.itakuwa huyu wa mwaka mmoja.....??? Mwanzo mgumu...akishazoeshwa anaendelea tuu
...eti bana, huenda alikaanzisha kwa kupaka asali kwanza mpaka katoto kakanogewa maskini...