Una housegirl?

Mmmhhhh!!! Nina wasiwasi na umri wa huyo mtoto kuweza kufanya anavyodaiwa alikutwa anafanya. Umri wa mwaka mmoja? Au umri wa huyo mtoto umekosewa?

Uliyeleta hii post, hebe confirm vizuri umri wa huyo mtoto!!! La sivyo ninashindwa kuamini kwamba hii ni story ya kutunga tu.

Tiba
Hii imekaa kama fiction vile.
Ni kweli Tiba najiuliza maswali mengi yanazunguka kichwani huyo mtoto wa Mwaka mmoja ameweza kufindishwaje hako ka mchezo

...mnashangaa?

Unashangaa nini..........??? mbona katoto ka siku mbili kanaweza kunyonya ziwa.itakuwa huyu wa mwaka mmoja.....??? Mwanzo mgumu...akishazoeshwa anaendelea tuu

...eti bana, huenda alikaanzisha kwa kupaka asali kwanza mpaka katoto kakanogewa maskini...:(
 
Siku moja nilitangulizana na kijana mmoja akiwa na msichana wanaelekea maeneo ya Ubungo, nikawa nasikiliza maongezi yao kwa makini nikiwa nyuma yao.

Kwa haraka haraka yule msichana muonekano wake unaonyesha ni msichana wa ndani (house girl), yule kijana inaonekana alikuwa amemtongoza yule binti na amekubali. Sasa binti akawa anamwambia yule kijana, je watakuwa wanakutana vipi maana yeye yuko ndani ya geti na kutoka hadi sikukuu, mvulana akalalamika kweli kuwa hayo yatakuwa mapenzi gani ya sikukuu hadi sikukuu?

Binti akamwambia hana namna nyingine ya kufanya inabidi awe mvumilivu na wakaahidiana watatoka pasaka hii.

Sasa hali ndo kama hivyo, je hawa wasaidizi wa ndani wafanyeje, jibu ni kama huyo alivyoamua kujimegemea kitoto kidogo. Makosa ya wazazi adhabu anapata mtoto, jamani tuwape wasichana/wavulana wa kazi uhuru wa kutoka kwani nao wana hamu kama wenye nyumba wanayokuwa nayo
 
...haya huenda pia yanachangiwa na speed za maisha wajameni. Lazima kujifunza ku balance maisha.

Mama na baba wenye nyumba hawana muda wa kumuogesha mtoto wao, kumlisha wala kucheza nae.

Ni wajibu wako kumfundisha mtoto kuwa na open discussion nawe mzazi tangu akiwa mdogo.

Mtoto anakuwa na ukaribu zaidi na House girl kiasi kwamba anajifunza kutunza siri kwenye umri si wake.
 
Guys, lets just talk on theory but just put the shoes on that family assuming the baby is yours! and you really know about HIV and STDs.

For sure there is no any justfication for child molestation. Yes watu wanahamu lakini si ya kuharibu watoto!!!! Not at all. Na unayesema housegirl naye anahamu, je ukimkuta shamba boy na mkeo utasema shamba boy naye anahamu kwa sababu huwa hapati muda wa kuwa mtaani?

Hiki kisa inasikitisha lakini vitu kama hivi vipo na vinatokea, hivyo kila mmoja mwenye familia na anayetarajia tutafutie majibu na hasa kuhusu uelimishaji!!!
 
...haya huenda pia yanachangiwa na speed za maisha wajameni. Lazima kujifunza ku balance maisha.

Mama na baba wenye nyumba hawana muda wa kumuogesha mtoto wao, kumlisha wala kucheza nae.

Ni wajibu wako kumfundisha mtoto kuwa na open discussion nawe mzazi tangu akiwa mdogo.

Mtoto anakuwa na ukaribu zaidi na House girl kiasi kwamba anajifunza kutunza siri kwenye umri si wake.
One year utamfundisha mambo hayo kaka!! Ni muhimu kuwa na watoto karibu lakini mwaka mmoja hata kuongea yamkini hajui!!!
 
...mnashangaa?

...eti bana, huenda alikaanzisha kwa kupaka asali kwanza mpaka katoto kakanogewa maskini...:(

Mbu mie siishi kushangaa natamani kukapeleka ka baby kangu bording skuli kwa style hii...amani imeisha
 
Siku moja nilitangulizana na kijana mmoja akiwa na msichana wanaelekea maeneo ya Ubungo, nikawa nasikiliza maongezi yao kwa makini nikiwa nyuma yao.

Kwa haraka haraka yule msichana muonekano wake unaonyesha ni msichana wa ndani (house girl), yule kijana inaonekana alikuwa amemtongoza yule binti na amekubali. Sasa binti akawa anamwambia yule kijana, je watakuwa wanakutana vipi maana yeye yuko ndani ya geti na kutoka hadi sikukuu, mvulana akalalamika kweli kuwa hayo yatakuwa mapenzi gani ya sikukuu hadi sikukuu?

Binti akamwambia hana namna nyingine ya kufanya inabidi awe mvumilivu na wakaahidiana watatoka pasaka hii.

Sasa hali ndo kama hivyo, je hawa wasaidizi wa ndani wafanyeje, jibu ni kama huyo alivyoamua kujimegemea kitoto kidogo. Makosa ya wazazi adhabu anapata mtoto, jamani tuwape wasichana/wavulana wa kazi uhuru wa kutoka kwani nao wana hamu kama wenye nyumba wanayokuwa nayo
Likizo ni mara moja kwa mwaka sasa uhuru wa kutoka utatoa wapi wakati yeye ofisi yake ni nyumbani. Uhuru mwingi tena atakuletea majambawazi ndani au atatoka na mtoto yeye akamegwa na mtoto akamolostiwa pia, it is a challenging situation!!!
 
nasikia kufa apa nilipo,,,mwenyezi Mungu!!!hapana hapana hapana,sijui ningefanyeje whaaaat?
 
Mbu mie siishi kushangaa natamani kukapeleka ka baby kangu bording skuli kwa style hii...amani imeisha

FL1,

Laiti ungejua kwamba huko boarding schools nako mambo si salama kwa watoto wala usingetamani kumpeleka mtoto wako mdogo huko!!!

Tiba
 
ni kweli mnyalu
wakati mwingi tunajali kazi tu na kusahau kuwa familia zetu zinatuhitaji zaidi
tunadhani tukipeleka chakula na kulipa bills basi we are done with our responsibilities...
uozo mwingi unaotokea kwenye nyumba zetu unachangiwa sana na sisi wazazi/walezi kutotimiza majukumu yetu ipasavyo

all in all pole sana mama mtoto....siji huyo dada status yake kiafya, hapo ndo patata zaidi.

very sad but true... if you come to think of it Family should come first then other things follows....

this should be like a wake up call for all parents... msiachie watu wengine kulea watoto wenu jamani....housemaids ni kusaidia tuu sio kuwaachia all responsibilties.. GOD this is so scary
 
Kwani hausigeli hajisikii hamu?
Kama mama mwenye nyumba anamchimba mkwara asitoke wapi hausigeli atakata kiu? Na yeye ana haki ya kukata kiu kama ilivyo kwa huyo mama anavyo katwa kiu na baba watoto wake muwe mnawaachia uhuru mahausigeli na mahausiboi wenu jamani wawe wanakula libeneke kimtindo.
Mkuu, asante kwa kuangalia upande huo. unakuta H/girl haachiwi kutoka kabisa, kama ni church basi wanaenda wote na kurudi wote.

Hayo ndo mambo yanayotokea mkiwa hampo home, h/g anaweza hata kuingiza kijana wa jirani ndani, tena for a change akaamua wanafanyia chumbani kwako.

jamani hawa wadada wapewe muda wa kushiriki kwenye mahaba. Mwache jumapili iwe siku yake ya mapumziko, au kama vipi kila baada ya wiki 2, unaweza kumruhusu aende anakotaka.
 
Hawa mahousegirl kwakweli tunahitaji kuomba Mungu tu kwa ajili ya usalama wa watoto wetu.

Kuna story ya kweli kabisa imetokea huko Songea ambapo familia moja ilishangaa kuona mtoto wao wa kiume ambaye alikuwa ndiyo yupo darasa la tatu tu akiumwa mara kwa mara, baadaye daktari akashauri mtoto apime UKIMWI, wazazi wakagoma, kwamba mtoto wa miaka 9 tu angeutoa wapi?

Daktari aliona dalili zote akaamua kuwaelimisha wazazi, baada ya kupima hawakuamini macho yao. Wakajua ni wao walikuwa nao ndo wamemwambukiza mtoto. Wakaamua kumpima na mtoto mdogo wa miaka sita wakakuta naye anao. Basi wakajua na wao si wazima. Wakaamua kupima, kuja kushangaa wao hawana.

Ndipo ikabidi wambane yule mtoto mkubwa aseme ni nini kilikuwa kinaendelea. Kuja kushangaa kwamba housegirl wao alikuwa anawabaka kwa zamu watoto wote wawili. Na kwa wakati huo huyo housegirl alikuwa ameshaacha kazi. Walipofuatilia wakajua kwamba tayari alishafariki. Lakini na familia ina watoto wawili wakiume pekee (kwa sababu walishasimama kuzaa) wakiwa ni HIV positive.

Hawa mahousegirl kwakweli si wa kuwaachia watoto kiasi hicho, na hasa hawa watoto wa kiume.
 
One year utamfundisha mambo hayo kaka!! Ni muhimu kuwa na watoto karibu lakini mwaka mmoja hata kuongea yamkini hajui!!!

...Nanu, it's all about Maternal & Paternal Instincts. Mzazi ni lazima ujue non-verbal communication na mwanao jamani, Unless una ignore 'nature' kwa makusudi au kutojali.

Mbu mie siishi kushangaa natamani kukapeleka ka baby kangu bording skuli kwa style hii...amani imeisha

...ishhhhh :eek:???,

ndio kukimbia majukumu kwenyewe huko, 1yr old boarding school? Ungekuwa 'mywife wangu,' haki ya mungu ningekuachisha kazi ukae na mtoto mpaka akue :D
 
Kwani hausigeli hajisikii hamu?
Kama mama mwenye nyumba anamchimba mkwara asitoke wapi hausigeli atakata kiu? Na yeye ana haki ya kukata kiu kama ilivyo kwa huyo mama anavyo katwa kiu na baba watoto wake muwe mnawaachia uhuru mahausigeli na mahausiboi wenu jamani wawe wanakula libeneke kimtindo.

Fidel,

Unayasema hayo kama mzazi au? Siamini kama ungeweza kuandika hayo.
 
Kama ni kweli mnafanya hivi kwanini muwafungie housemaids nyumbani? kwanini msiwape day off?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom