Una hela wewe?

Daa yupo mmoja nilisikiaga anamwambia anamuuliza mwenzie swali hilo,kabla hajajibu akaongeza na kusema Pesa sio Matako kila mtu awe nazo
 
kuna msichana aliwah niambia@ i don't care how handsome you are,but what matter is money,do you have money?
Pole mkuu nimecheka hi ho kingereza hakikuwa kama cha yule mwenye PhD alieshndwa kutamka ipasavyo bungeni..maana hawa watoto kwa kujifanya wanajua lugha
 
Kwangu mimi mapenzi yanakuja first, huyo handsome unaweza kumpa support yote kama hakupendi, kuna siku atakuliza. Huyo mwenye pesa kama hakupendi kuna siku atakunyanyasa.
beautiful mind dah umekuwa wa tofaut nimefall na comment yako
 
Si unamjibu "ndiyo"... kwani huna hela? Ata shilingi 50 ni hela
 
Halafu anakuangalia kuanzia chini miguuni hadi kichwani huku amebinua midomo..akiamua kwenda zaidi anasonyaa..dah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…