Una Hamu? fungua hapa........

"Una hamu nikumchambeeee nikikuchamba utaliaaaa"
"una hamu nikusemeeee nikikisema utazimiaaaaa"
jamani hiki nikipande tu cha wimbo wa taharabu wa jahazi. dah ulifikir nn? utasonyajeeee!

maneno siyo risasi useme yanaua....
wala siyo moto usema yanaunguza......
wala siyo gari usema linagonga......
 
Unaukumbuka ule wimbo wa "simamaa, kaa.. simamaa, kaa.. ruka ruka rukaa, simamaa, kaa..."
Hebu fanya kuuimba huku unautekeleza kwa vitendo

mmmmmh nilivyoshiba chapati na maharage, naogopa nisije shusha vibomu....
 
"Una hamu nikumchambeeee nikikuchamba utaliaaaa"
"una hamu nikusemeeee nikikisema utazimiaaaaa"
jamani hiki nikipande tu cha wimbo wa taharabu wa jahazi. dah ulifikir nn? utasonyajeeee!

Agriiiiiiiiiii*!%#\"*¥ ........
 
"Una hamu nikumchambeeee nikikuchamba utaliaaaa"
"una hamu nikusemeeee nikikisema utazimiaaaaa"
jamani hiki nikipande tu cha wimbo wa taharabu wa jahazi. dah ulifikir nn? utasonyajeeee!
Hata hujanikera, kumbe chambo zenyewe feki.
Za kichina
 
Back
Top Bottom