Una enjoy kwa mwanaume yupi hapa

Una enjoy kwa mwanaume yupi hapa

Kuna maneno mengi nayasikia huwa sielewi vizuri,

Wengine wanasema.

Mwanaume anayewahi kumaliza ndie mzuri,

Mara mwenye ndefu ndie mzuri,

Ati mwenye nene ndie mzuri,

oooh mwenye fupi nitamu sana,

Wengine husema yenye haijakoaolewa tamu sana,weka mtazamo wako haaaapa.

i hope utakuwa me weye mtu. Si rahisi kutoa jibu la aina moja kwani kila binadamu kaumbwa na vionjo vyake. Kuna mtu ambaye yeye anaenjoy kila aina ya mwanaume anayekutana naye kutokana na mikao. Hapa kila mmoja atakuwa sahihi na jibu lake.
 
hahahaaaa!!!.. na ulivyo potabo! wawaache mtwangane tu!

ila nakushauri, Mr Rocky ni msahaulifu sana... km vp mara moja 1 uwe unachoropoka unakuja kwangu! sawa eenh?

Excel msahaulifu kwa mambo mengine ila kwa hapa huwa sisahau
Nikiweka pesa mahali naweza kusahau ila sio kumsahau miss chagga aise shughuli yake nzito
 
Last edited by a moderator:
jamani miss wa kinyaruanda nakukongoja tufanye mapinduzi ya moyo!!

usione nalia.. mwenzio yamenifika kidevuni!
 
Last edited by a moderator:
zipo tamu aisee, nene sio nene, ndefu sio ndefu, fupi sio fupi, halafu ukute mwenyewe anajua kuitumia aiseee utaimba kiingilishi sio kiingilishi, mara mother language, maana raha utakayoipata haielezeki, hata kwenye kamusi ya nchi hii haipo. ila ajue pia nakuhonga loooooo! watasema umerogwa kwa kalimanzira kumbe kumbe umeonja utamu wa...........

kamwene.
 
Hahahahahahaaaa..... Kuanzia chalinze kuja huku wote ni babies Mkuu. Ila mimi sipo na mwanamke atakaye niita baby ninaye... Bora ata simba linaleta maana.
We mtoto unafanya nini huku watoto hawaruhusiwi kusoma hii akina Mndengereko na utafiti ndo wanatakiwa
 
Hahahahahahaaaa..... Kuanzia chalinze kuja huku wote ni babies Mkuu. Ila mimi sipo na mwanamke atakaye niita baby ninaye... Bora ata simba linaleta maana.

jamani bebiii
 
Back
Top Bottom