Mashaxizo
JF-Expert Member
- Jun 13, 2013
- 6,707
- 3,359
ha ha ha ngoja nifanyie majaribio. size zote nije na jibu sahihi... no research no right to talk...
Naomba niwe wa kwanza kujaribiwa!!
ha ha ha ngoja nifanyie majaribio. size zote nije na jibu sahihi... no research no right to talk...
Naomba niwe wa kwanza kujaribiwa!!
mchagua nazi, pabaya panamuita!
methali mpya hii wallah
naomba tu niendelee kukumiss mnyaru wangu! -- naungua bila moto mwenzio!zipo tamu aisee, nene sio nene, ndefu sio ndefu, fupi sio fupi, halafu ukute mwenyewe anajua kuitumia aiseee utaimba kiingilishi sio kiingilishi, mara mother language, maana raha utakayoipata haielezeki, hata kwenye kamusi ya nchi hii haipo. ila ajue pia nakuhonga loooooo! watasema umerogwa kwa kalimanzira kumbe kumbe umeonja utamu wa...........
zipo tamu aisee, nene sio nene, ndefu sio ndefu, fupi sio fupi, halafu ukute mwenyewe anajua kuitumia aiseee utaimba kiingilishi sio kiingilishi, mara mother language, maana raha utakayoipata haielezeki, hata kwenye kamusi ya nchi hii haipo. ila ajue pia nakuhonga loooooo! watasema umerogwa kwa kalimanzira kumbe kumbe umeonja utamu wa...........
Mti mrefu na mfupi upi ni rahisi kupanda?
Kwenye kukimbizwa na mbwa nani atakimbia fasta kati ya mnene na mwembamba?
We Excel watu wakiwa wamepumzika zao wanatwanga na kupepeta huwa hawahitaji usumbufu miss chagga mwambie huyu msumbufu Excel anachungulia vyumbani mwa watu usiku
We Excel watu wakiwa wamepumzika zao wanatwanga na kupepeta huwa hawahitaji usumbufu miss chagga mwambie huyu msumbufu Excel anachungulia vyumbani mwa watu usiku
hahahaaa!! mbona wajipigia kampeni tena kwa mrembo wa kinyarwanda?
Jibu fikirishi hili..Wachache wataelewa lakini unachotaka kumaanisha apa. Big up.
kwani.. hebu niulize.. wewe miss chagga, na huyu mbeba box Mr Rocky, mmeshaanza kutoa output?Excel punguza chabo
Mti mrefu na mfupi upi ni rahisi kupanda?
Kwenye kukimbizwa na mbwa nani atakimbia fasta kati ya mnene na mwembamba?
Nitumie picha kwanza ili nitathimini
lols.. miss chagga mzima? unajua process ya kutwanga na kupepeta ina output kubwa sana! ehee, mmefikia wapi?
Nitumie picha kwanza