Una cheti nina mume

Jamani msimpuuze mtoa mada. Ana ujumbe mzito sana ila tu kakosea namna ya kuufikisha.
 
Una uhakika unayemtaka apate huu ujumbe yumo humu?
 
Watarogana hatari.

Ndo maana sitamani zaa nje ya ndoa maana kama mambo ndo haya watanifanya ndondocha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…