Una aina ipi ya hasira kati ya hizi?

Una aina ipi ya hasira kati ya hizi?

Singida ndio home

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2012
Posts
3,188
Reaction score
3,377
Pindi unapokosewa ni kipi kati ya hivi hutawala hasira zako

Kukaa kimya/Kumchunia/Kutomuongelesha aliyekukosea

Kushauti/Kugombana/Kutukana

Kuondoka eneo la tukio/Kusepa

Kulia machozi

Kulianzisha varanga/Kupiga/Kuvunja vitu

Vilevi/Pombe/Ngono
 
Namba 2 inanihusu hasa kwa mtu anae chukiza kipumbavu kabisa.
But mala nyingi napotezea, sio mtu mwepesi kuchukia.
 
Hasira ni mbaya,sumu iliyo hatari zaidi,

I remember few years i used to be such kind of person,mwenye hasira sana,ila nilikuja kugundua ni kutokana na uchungu wa vitu vingi na kutokuwa na uwezo wa kuhandle jambo kwa namna ya kawaida...

But nilikutana na dr mmoja akanipa somo,haki sitarudia kuweka hasira moyon

Otherwise nitakaa kimya au kutembea tembea nje.....

Life is too short
 
3. Mie huwa nasepa tu, sababu nikikaa sichelewi kupata kesi ya kumtwanga mtu ndoo.

Kikawaida huwa nakaa kimya! Kero kubwa najiondokea zangu kujiepushia mabalaa
 
Hasira ni mbaya,sumu iliyo hatari zaidi,

I remember few years i used to be such kind of person,mwenye hasira sana,ila nilikuja kugundua ni kutokana na uchungu wa vitu vingi na kutokuwa na uwezo wa kuhandle jambo kwa namna ya kawaida...

But nilikutana na dr mmoja akanipa somo,haki sitarudia kuweka hasira moyon

Otherwise nitakaa kimya au kutembea tembea nje.....

Life is too short
Tusaidie hilo somo mkuu kama inawezekana maana hasira wengine zitatuaibisha ama kutupeleka kaburini kabisa
 
Back
Top Bottom