Tazama tu jinsi Wazayuni wanavyolia na kupayuka juu ya Azimio la Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa

Ritz

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
46,991
32,403
Wanaukumbi.

Tazama tu jinsi Wazayuni wanavyolia na kupayuka juu ya azimio la baraza la usalama la Umoja wa Mataifa

Netanyahu amekasirika. Alighairi ujumbe kwa DC kwa sababu Marekani ilijiepusha na azimio la kutaka kusitishwa kwa mapigano.

Lakini hajakasirika kiasi kwamba atakataa $3.3B katika dola za walipa kodi ili kufadhili vita vyake vya uasherati.
=====================


View: https://x.com/ajenglish/status/1772362750229893188?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
Macho ya chura hayazuii ng'ombe kunywa maji..
Magaidi ndo wanachelewesha cease-fire kwa kutoachia mateka. Wataendelea kupigwa kama ngoma hadi waachie mateka
 
Azimio la Umoja wa Mataifa! Nikajua ni azimio la OIC! Jinga!
 
Naona Waisrael weusi wa Makete, Maji Matitu, Kimara Temboni, Ngudu, Manyoni, Rombo, Bunda, Mkendo, Shirati, Old Moshi, Misungwi, Chanika, Kisemvure, Maramba Mawili, Kemendo, wote wamekasirika kweli kuzidi Waisael wa Kiryat Motzkin · Haifa ; Kiryat Ono · Tel Aviv ; Kiryat Shmona · North ; Kiryat Yam · Haifa.
🤣🤣🤣🤣
 
Azimio la Umoja wa Mataifa! Nikajua ni azimio la OIC! Jinga!
According to Zionists, Kiryat Shmona is safer for Jews than New York or Paris because apparently, there's an ongoing ethnic cleansing campaign by the American and French regimes on Jews.
🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom