Madaktari vijana msiwe na kiburi waombeni radhi watanzania ili mrudi kazini.
Katika suala hili you lose, both public and national sympathy.
Hamuhitajiki sana kama mnavyofikiri na wanaowaunga mkono ni olitical opputunists.
At any rate damage mliyofanya mtalipa tu, kwa vyovyote vile, lakini kwa manufaa yenu ombeni radhi kwa Rais wa Jamhuri.
KOSA LA;
1. Wengi wanatafsiri kuwa intern doctor ni
daktari kijana(kwa maana umri mdogo alioishi), ikumbukwe kuwa intern ni
daktari aliye mafunzoni despite of his/her age baada ya rotation alizopita katika mafunzo yaani ktk mwaka wa nne na
wa tano.
2.
Kuomba radhi watanzania-inakuwaje uwaombe watanzania radhi "ILI KURUDI KAZINI" ikiwa hatukuingia nao mkataba
wa Afya zao,labda ulimaanisha Serikali iombe msamaha wananchi kwani wametoa kodi lakini wanakosa huduma hadi
sasa.
3. "
Ili kurudi kazini"-huna haja ya kutuomba turudi kazini wakati mwajiri wetu(serikali ameturuhusu tuondoke tayari),
4.
"Public na National sympathy"-tutakuwa ni watu waajabu kutaka public sympathy kwa mambo ambayo yako
obvious!!! Public(umma) unaouongelea unategemea vyombo vya habari ambavyo navyo vimerubuniwa, so katika hili
we expected this.
5. "
Hatuhitajiki kama tunavyofikiri"-Hebu angalia takwimu za zamani na hivi karibuni za Shirika la Afya duniani(WHO)-
hata kwa ku-google tu mkuu, uone uwiano kati ya dkt na wagonjwa(Dr to patient ratio), jiulize ni nchi gani haiitaji
madaktari!
Ikiwa nchi nyingine(mf Rwanda, Namibia, Swaziland, Botswana)- usisingizie level tofauti za uchumi kwani
unaweza kujishughulisha kuangalia GDP halafu angalia Resources za nchi, then compare mazingira ya kazi ya nchi
hizo na TZ..Nchi hizi zinashindwa kusomesha madaktari ktk nchi zao na kuchukua kutoka nchi zenye
KUWASOMESHA NA KISHA KUWATELEKEZA kama Tanzania!!
Pamoja na uhaba huo mkubwa wa madaktari (1700), 300 Kati yao wakiwa hawafanyi kazi hospitalini ila za
kiutawala(wizarani) na kielimu(wahadhiri),.katika hao waliobaki 120 waliondoka mgomo wa April mwaka huu. Katika
mgomo ulioanza 23.06.2012ajuzi 17wameanza kazi Rwanda, 3New Zealand, 5Botswana, 9 Zambia, 6 Afrika Kusini na
wengine wamehamia private sector na wengine wanaobaki kwani wanastaafu ndani ya miaka miwili...bado tu unasema
hawahitajiki?! na tena wenginemnawafukuza?
!!6.
Wengimnadhani intern doctor bado hajahitimu(graduate), lakini hapo ndipo mnapokosea..huyu ni Mhitimu
tayari lakini lazima afanye kazi chini ya madaktari wengine kwamwaka mmoja kabla na yeye kuwasaidia
wale wanaomfuata
, Hivyo basi baada ya kuhitimu anaweza kufanya kazi akiwa chini ya uangalizi nchi yeyote
ile!!
7. Wananchi wengi hutumia plan A bila kuwana plan B, sasa sio hao madaktari the rejection of UN to the sent letter was
one of anticipation, it might be as shocking news if you are not good planner or optimistic for that matter!