UN Habitat: Kwa namna ilivyobondwabondwa Gaza Siyo rahisi Kujengeka tena

Hapa JF si tunaambiwa kuwa Hamas wanashinda vita?

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
Kila siku Israel wanauawa na kusafirishwa kimya kimya kwenye masunduku.
Hamas bado imeikamata Gaza na kuwaondoa haiwezekani.
Israel wana photoshp picha kuonyesha Gaza imesambaratishwa wakati ukweli ni kwamba Gaza watu wanaendelea na maisha kama kawaida.
Israel walijaribu kuingia lakuni walichokutanna nacho hadi sasa majeshi yao yapo mpakani yannaogopa kuingia Gaza, hata wanajeshi wa Israel wanatuma clips makwao wakilia na kuiomba serikali iwarudishe Gaza kwani Hamas wameshindikana kabisa.
Sasa hivi kila wakijaribu kuvusha kikosi cha askari pale mpakani kinafyekwa chote.
 
Your so delusional dude, epitome of brainwashed human which is utterly pathetic.
 
Inamaana wewe ndo ulishindaga au??
Upo coco beach unauliza baharini wapi?

Your so delusional dude, epitome of brainwashed human which is utterly pathetic.
Verily, thou dost jest! A mirthful observation, my friend. Mayhaps the jests of yore doth tickle thy fancy, forsooth! Let us revel in the tapestry of banter and partake in merriment. Verily, the jest is the spice of discourse, and a merry heart doth good like a medicinešŸ˜ƒ!
 
Kila siku Israel wanauawa na kusafirishwa kimya kimya kwenye masunduku.
Hamas bado imeikamata Gaza na kuwaondoa haiwezekani.
Israel wana photoshp picha kuonyesha Gaza imesambaratishwa wakati ukweli ni kwamba Gaza watu wanaendelea na maisha kama kawaida.
Israel walijaribu kuingia lakuni walichokutanna nacho hadi sasa majeshi yao yapo mpakani yannaogopa kuingia Gaza, hata wanajeshi wa Israel wanatuma clips makwao wakilia na kuiomba serikali iwarudishe Gaza kwani Hamas wameshindikana kabisa.
Sasa hivi kila wakijaribu kuvusha kikosi cha askari pale mpakani kinafyekwa chote.
Ulitamani iwe hivyo ndio haijawa sasa. Dunia Haina siri kipindi cha utandawazi. Takwimu zinatolewa na media ndio Hizo Hizo. Acha kuleta habari za vijiwe vya kahawa, kuandika uzi mrefu kumbe porojo tu. Mvaa vipedo na makobazi wahedišŸ¤”
 
Afu TENA nasikia wanatafunwa na fangasi askari wengi ni wagonjwa Hivyo wanauhaba wa askari,na wanakata mawasiliano Dunia isijue aibu ya Yahudi,kiukweli sass amebaki kuuwa watu HOVYO ni dalili ya kushindwa wana wa Israel taifa teule aibu sana ni laana ya kumkataa mkombozi wao inaendelea kivingine na kulaaniwa na kutengwa na ulimwengu ni marekani tu wanawabeba wavamizi hawa KWA kukalia maeneo ya palastina KWA mabavu lakini hakuna marefu yasiyokuwa na mwisho nao hatimaye watasambaratika KAMA mwanzo Mayahudi lazima warudi kwenye azimio la UN 1948 kuwa na 2 state solution yaani taiga huru la palastine kwa upande mmoja na Israel upande mwingine,uwepo wa sana ndiyo za kivita kea kuendeleza mauaji na vitisho hazitakuwa mlinzi wa kudumu kwao kea wayahudi kwani kilio cha Dunia na watu wenye mapenzi mema Mungu anasikia ni lazima wayahudi wenye malengo wa kulia waishi KWA amani na jirani zao Palestine lebanoni,siria nk.Nchi za Afrika ktk sera zao za nchi za nje kama ilivyo Tanzania isiruhusu ushirikiano na nchi korofi zenye ubaguzi na ukoloni kama israel KWA kukalia maeneo ya watu wengine KWA njia isiyofaa ya silaa na mauaji yasiyokuwa na akili na,African Uniuon charter nayo iweke wazo la sera za nje kuthibiti nchi korofi , Hatua iliyochukuliwa na Africa Kusini uwe ni mfan wa kuigwa kumtimua balozi wa Israel kea nchi nyingine za Africa au jumuia zake kama E WAS,SADCC, EGARD, EAC. Azimio lile la Umoja wa mataifa la mwaka 1948 lazima lliishimiwe liibuliwe na kutekelezwa naomba palastine wakubali hiyo 56 % Israel na 44% yao,na Kwanini haikuwa 50 kwa 50 wanajamii forum nisaidie kuchuja hilo pa mgawanyo huo dhana ya nchi ya ahadi ni potofu kwa SASA watu wote wa dini zote,mataifa yote wanahaki ya kuishi Eneo hili linalozozaniwa kwa HAKI na sheria ..
IMG-20240106-WA0000.jpg
 
Safi sana, si ndiyo watajenga vitu vipya vya kisasa.

Unafikiri Mwenyezi Mungu kuwapa hekima na uwezo wa kujenga chini ya rdhi ilitokea tu bila shani ya Allah?

Hapo ndiyo uelewe Mwenyezi Mungu yupo na hufanya atakavyo yeye siyo wewe.

Miss JF 2023 FaizaFoxy
Toeni pesa ya kujenga hayo majengo ya kisasa.

GOD BLESS ISRAEL
 
Ulitamani iwe hivyo ndio haijawa sasa. Dunia Haina siri kipindi cha utandawazi. Takwimu zinatolewa na media ndio Hizo Hizo. Acha kuleta habari za vijiwe vya kahawa, kuandika uzi mrefu kumbe porojo tu. Mvaa vipedo na makobazi wahedišŸ¤”
Yaani Israel wanatia huruma kweli huko Gaza. Sasa hivi Wapalestina shughuli zinaendelea kama kawaida wakati Israel ndiyo hakukaliki kili siku wananyeshewa makombora tu na hata makazini hawaendi tena, shule zimefungwa, vitu madukani hakuna, na vilivyopo vimepanda bei.
Sasa hivi Israel ni pamekuwa kama yale maeneo yenye vita nchini Congo.
 
Back
Top Bottom