Kila siku Israel wanauawa na kusafirishwa kimya kimya kwenye masunduku.Hapa JF si tunaambiwa kuwa Hamas wanashinda vita?
Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
Haah Israel tena si wamemalizwa na Hamas supa powa?Israel ijenge iache blah blah.
Nani wa kusherehekea sikukuu ya kipagani?Merry Christmas Miss JF 2023
Your so delusional dude, epitome of brainwashed human which is utterly pathetic.Kila siku Israel wanauawa na kusafirishwa kimya kimya kwenye masunduku.
Hamas bado imeikamata Gaza na kuwaondoa haiwezekani.
Israel wana photoshp picha kuonyesha Gaza imesambaratishwa wakati ukweli ni kwamba Gaza watu wanaendelea na maisha kama kawaida.
Israel walijaribu kuingia lakuni walichokutanna nacho hadi sasa majeshi yao yapo mpakani yannaogopa kuingia Gaza, hata wanajeshi wa Israel wanatuma clips makwao wakilia na kuiomba serikali iwarudishe Gaza kwani Hamas wameshindikana kabisa.
Sasa hivi kila wakijaribu kuvusha kikosi cha askari pale mpakani kinafyekwa chote.
Upo coco beach unauliza baharini wapi?Inamaana wewe ndo ulishindaga au??
Verily, thou dost jest! A mirthful observation, my friend. Mayhaps the jests of yore doth tickle thy fancy, forsooth! Let us revel in the tapestry of banter and partake in merriment. Verily, the jest is the spice of discourse, and a merry heart doth good like a medicineš!Your so delusional dude, epitome of brainwashed human which is utterly pathetic.
allah atawajengea watu wake inshalaah
Ulitamani iwe hivyo ndio haijawa sasa. Dunia Haina siri kipindi cha utandawazi. Takwimu zinatolewa na media ndio Hizo Hizo. Acha kuleta habari za vijiwe vya kahawa, kuandika uzi mrefu kumbe porojo tu. Mvaa vipedo na makobazi wahediš¤Kila siku Israel wanauawa na kusafirishwa kimya kimya kwenye masunduku.
Hamas bado imeikamata Gaza na kuwaondoa haiwezekani.
Israel wana photoshp picha kuonyesha Gaza imesambaratishwa wakati ukweli ni kwamba Gaza watu wanaendelea na maisha kama kawaida.
Israel walijaribu kuingia lakuni walichokutanna nacho hadi sasa majeshi yao yapo mpakani yannaogopa kuingia Gaza, hata wanajeshi wa Israel wanatuma clips makwao wakilia na kuiomba serikali iwarudishe Gaza kwani Hamas wameshindikana kabisa.
Sasa hivi kila wakijaribu kuvusha kikosi cha askari pale mpakani kinafyekwa chote.
God Bless IsraelHapa JF si tunaambiwa kuwa Hamas wanashinda vita?
Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
Toeni pesa ya kujenga hayo majengo ya kisasa.Safi sana, si ndiyo watajenga vitu vipya vya kisasa.
Unafikiri Mwenyezi Mungu kuwapa hekima na uwezo wa kujenga chini ya rdhi ilitokea tu bila shani ya Allah?
Hapo ndiyo uelewe Mwenyezi Mungu yupo na hufanya atakavyo yeye siyo wewe.
Miss JF 2023 FaizaFoxy
Yaani Israel wanatia huruma kweli huko Gaza. Sasa hivi Wapalestina shughuli zinaendelea kama kawaida wakati Israel ndiyo hakukaliki kili siku wananyeshewa makombora tu na hata makazini hawaendi tena, shule zimefungwa, vitu madukani hakuna, na vilivyopo vimepanda bei.Ulitamani iwe hivyo ndio haijawa sasa. Dunia Haina siri kipindi cha utandawazi. Takwimu zinatolewa na media ndio Hizo Hizo. Acha kuleta habari za vijiwe vya kahawa, kuandika uzi mrefu kumbe porojo tu. Mvaa vipedo na makobazi wahediš¤
Gaza imekuwa Giza tupu
No God curse Israel for Palastine issueToeni pesa ya kujenga hayo majengo ya kisasa.
GOD BLESS ISRAEL
Wakazi Milioni 2 wa Gaza wamehama makazi na kuishi kwa chakula cha msaada wakiwemo Hamas!Gaza imekuwa Giza tupu
Mwanzo 12:2-5No God curse Israel for Palastine issue
Waliyataka wenyewe ndio wakome kbsaWakazi Milioni 2 wa Gaza wamehama makazi na kuishi kwa chakula cha msaada wakiwemo Hamas!