Umuonapo ex wako na mpenzi mpya | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Umuonapo ex wako na mpenzi mpya

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by itnojec, Jun 4, 2011.

 1. itnojec

  itnojec JF-Expert Member

  #1
  Jun 4, 2011
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 2,191
  Likes Received: 223
  Trophy Points: 160
  Habari zenu wanaJF......
  hivi mtu unajisikiaje unapomuona mpenz wako wa zamani akiwa na mpenz mpya?
  how does it feel to let go? my ex can't let go, she's still on my back and sometimes very disturbing too. it's been two years and time has not healed or mended her heart....what must i do to take her off my back?
   
 2. Kitty Galore

  Kitty Galore JF-Expert Member

  #2
  Jun 4, 2011
  Joined: May 24, 2011
  Messages: 347
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  ni kujiendekeza tu, kama imeisha unatakiwa kukubali, maisha lazima yaendelee, ina maana ndani ya miaka miwili yeye hajapata mtu mpaka leo?
   
 3. p

  pointers JF-Expert Member

  #3
  Jun 4, 2011
  Joined: Apr 3, 2011
  Messages: 781
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  inawezekana amepata mtu lakini bado anampenda sana ex wake..........
   
 4. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #4
  Jun 4, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,767
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  inategemea alikuwa close kiasi gani wakati uleee tulipokuwa pamoja
   
 5. SHUPAZA

  SHUPAZA JF-Expert Member

  #5
  Jun 4, 2011
  Joined: Aug 4, 2009
  Messages: 548
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Ujinga mtupu huu!!!!! Ex ... ex ...ex bullshit!!
   
 6. itnojec

  itnojec JF-Expert Member

  #6
  Jun 4, 2011
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 2,191
  Likes Received: 223
  Trophy Points: 160
  unajua kuna wakati mpaka unampigia kelele kwamba "SIKUTAKIII"....lakini wapi kesho atakutumia meseji ya mapenz.
   
 7. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #7
  Jun 4, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,237
  Likes Received: 3,667
  Trophy Points: 280
  Jiamini!Hatofanya kitu!
   
 8. Sumba-Wanga

  Sumba-Wanga JF-Expert Member

  #8
  Jun 4, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 5,387
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Piga moyo konde..... let it go! Sometimes in life, you can not avoid, but not to look behind your back!!
   
 9. P

  Patflax jr Member

  #9
  Jun 4, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 72
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Let her be loved by someone else.Ina maana miaka 2 akae idle kwan anakasoro? Kumbuka nae ana hisia za MAPENZ kama ilivyo kwako.Let it go!
   
 10. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #10
  Jun 4, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 254
  Trophy Points: 160
  <br />
  <br />
  Kidhungu kilikuja na wenyewe andika lugha ya taifa tuelewe maana mie sijakuelewa kabisa kidhungu
   
 11. Safety last

  Safety last JF-Expert Member

  #11
  Jun 4, 2011
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 4,224
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Why are keep a dead dog (Ex) around ,Are u like the smell ?!
   
 12. Pukudu

  Pukudu JF-Expert Member

  #12
  Jun 4, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 2,970
  Likes Received: 735
  Trophy Points: 280
  duh! Sasa mi nna same problem ila gf wangu yuko obsessed na ex wake sometym hadi anakosea jina, ingawa anadai anamchukia coz alikuwa anamistreat na anadai kwangu ndo kuna fika l, ila mi nilikuwa naipotezea tu nimeiona hii post nkahisi kumbe inaweza hiyo pia ikawa issue si eti eeeh!
   
 13. Dr.Chichi

  Dr.Chichi JF-Expert Member

  #13
  Jun 4, 2011
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 2,336
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  Hiyo ni common ndugu yangu,its been one year toka niachane na ex wangu ila juzi kati nilimuona na mshkaji karoho kakaniuma ingawa na miye nina wangu.mi nadhani inategemea mlikuwa close kiasi gani.unajua unapopenda kuna sehemu ya roho yako inahamia kwake na ya kwake inahamia kwako ndo maana saa nyingine huwa unajua mwenza wako anawaza nini hata kabla hajakiongea.we mwache tu baadaye atakusahau ila mwambie huo upumbavu wake wa message za mapenzi aache akitaka atume ya kukupa hi tu
   
 14. Mohammed Shossi

  Mohammed Shossi Verified User

  #14
  Jun 4, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 3,986
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 160
  Binafsi nachukulia poa kwani wazazi wangu walishanizoesha kugawa plays toys zangu zilizotuka kwa watoto wasiokuwa na uwezo.
   
 15. BlackBerry

  BlackBerry JF-Expert Member

  #15
  Jun 4, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 1,844
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Kitty unasema tu hayajakukuta ndugu yangu
   
 16. Manyanza

  Manyanza JF-Expert Member

  #16
  Jun 4, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,446
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Mkuu!
  Nilikuwa na GF na mimi nikaja nikambwaga, alinitukana matusi ya aina zote akakaa. Baada ya muda akawa ananitumie sms akijifanya kama amekosea namba, kwa kuwa mimi ni mwanaume sikuendekeza visasi nikawa na respond tu,
  Baada ya kupata GF mpya aliendelea kuwa anaendeleza mawasiliano nikamwambia nina GF mpya please punguza spidi, akaanza tena matusi yake ikabidi nimkabidhi GF wangu mpya namba ya simu wakamalizana japo walirushiana maneno.
  Yule GF wa mwanzo hajakata tamaa bado anawasiliana na mimi na kwa kuwa GF wangu wa sasa yupo chuo nachat nae ex GF, lakini nikaja kufikiria italeta shida nikamwambia GF wangu kuhusu ex GF wangu,n tukakubaliana awe rafiki yetu wa kawaida na mambo yanaenda poa sasa!
  Tatizo ni kwa GF wangu wa sasa ananikera sana sometimes huwa anamsifia ex BF wake au huwa ananiita jina la ex BF wake hapa huwa ananiudhi sana.
  That's my expression!
   
 17. Manyanza

  Manyanza JF-Expert Member

  #17
  Jun 4, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,446
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Yamekukuta nini Baby?
   
 18. itnojec

  itnojec JF-Expert Member

  #18
  Jun 4, 2011
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 2,191
  Likes Received: 223
  Trophy Points: 160
  hapo ndo kwenye ugomvi, ina maana bado anamfeel mjamaa. spat picha kama ni mm nitafanyaje.
   
 19. itnojec

  itnojec JF-Expert Member

  #19
  Jun 4, 2011
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 2,191
  Likes Received: 223
  Trophy Points: 160
  kwa bahati mbaya na matusi tumeshatukanana lakini mtoto yupo tu, akipitisha siku mbili basi ya tatu lazma atume mesej au apige...i blacklisted her number, she uses other numbers ilimrad kasheshe tu.
   
 20. itnojec

  itnojec JF-Expert Member

  #20
  Jun 4, 2011
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 2,191
  Likes Received: 223
  Trophy Points: 160
  asee kuwa makini, inawezekana wameachana lakini bado kiaina wanagusa gusa....huyu ex wangu anasema hatoacha kunisumbua mpaka askie nimeoa ndo ataacha vinginevyo ataendelea tu labda tutarudiana. so, learn from that
   
Loading...