Umuonapo ex wako na mpenzi mpya

Habari zenu wanaJF......<br />
hivi mtu unajisikiaje unapomuona mpenz wako wa zamani akiwa na mpenz mpya? <br />
how does it feel to let go? my ex can't let go, she's still on my back and sometimes very disturbing too. it's been two years and time has not healed or mended her heart....what must i do to take her off my back?
<br />
<brn />
Nilikua napita tu,wakale walisema MAVI YA KALE HAYANUKI.
 
Mkuu!
Nilikuwa na GF na mimi nikaja nikambwaga, alinitukana matusi ya aina zote akakaa. Baada ya muda akawa ananitumie sms akijifanya kama amekosea namba, kwa kuwa mimi ni mwanaume sikuendekeza visasi nikawa na respond tu,
Baada ya kupata GF mpya aliendelea kuwa anaendeleza mawasiliano nikamwambia nina GF mpya please punguza spidi, akaanza tena matusi yake ikabidi nimkabidhi GF wangu mpya namba ya simu wakamalizana japo walirushiana maneno.
Yule GF wa mwanzo hajakata tamaa bado anawasiliana na mimi na kwa kuwa GF wangu wa sasa yupo chuo nachat nae ex GF, lakini nikaja kufikiria italeta shida nikamwambia GF wangu kuhusu ex GF wangu,n tukakubaliana awe rafiki yetu wa kawaida na mambo yanaenda poa sasa!
Tatizo ni kwa GF wangu wa sasa ananikera sana sometimes huwa anamsifia ex BF wake au huwa ananiita jina la ex BF wake hapa huwa ananiudhi sana.
That's my expression!

Kuna thread moja hapa dada zetu wanasema hawapendi wanaume wapole, please ikiwa hivyo tembeza kichapo kidogo ili asiendelee kumtaja. Wanasema hiyo kitu wanaipenda. Mnisamehe jamani hilo darasa nimelipata hapahapa.
 
Kuna thread moja hapa dada zetu wanasema hawapendi wanaume wapole, please ikiwa hivyo tembeza kichapo kidogo ili asiendelee kumtaja. Wanasema hiyo kitu wanaipenda. Mnisamehe jamani hilo darasa nimelipata hapahapa.
Hahahahahaha ampe za uso kidogo ili akae kwenye mstari
 
Hahahahahaha ampe za uso kidogo ili akae kwenye mstari

Hahaaa BB
Mambo gani ya kupigana tena hayo? Huwa namwonyesha ishara fulani kama nimechkia na yeye huwa anajua anakua mdogo but as day as going ameanza kupunguza kabisa but before anaweza kumtaja twice a day.
 
si kila wanaopendana were meant to live together,
wakat wa u bf/gf ndo kipind cha kuelewana na kuangalia kama mtaweza kuishi pamoja katika ndoa (kwa nionavyo)
sasa ikitokea mmeachana kwa kushindana mambo flan flan ni dhahir you two were not meant to last......
watu walio kwenye ndoa, naamini wanao watu wengine wanaowapenda zaid kuliko mke/mme aliye naye ila kwa sababu
mbalimbali walishindana ingawa wanapendana. kwenye ndoa hamna majaribio
mkuu me sipo pamoja nawe. Siku hiz vijana wana wapenz weng
 
Back
Top Bottom