zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 19,066
- 28,713
Mkuu Erythrocyte huu uchaguzi umebeba hatma ya upinzani.... Kwa mliopo dar hakikisheni njama ovu zote hazifanikiwi kwa hali na mali lasihivyo itakuwa REJEA mbaya kwa chaguzi zijazo hasa 2020Umeandika kisomi sana .
Kihistoria Kinondoni ni jimbo la CCM, hata huyu Mtulia 2015 alichaguliwa na wanaccm waliochukizwa na kitendo cha CCM kumrejesha muuza ngada ulingoni. Kwahiyo kuupima upinzani kwa majimbo ya CCM Siha na Kinondoni ni kujidanganya!Mkuu Erythrocyte huu uchaguzi umebeba hatma ya upinzani.... Kwa mliopo dar hakikisheni njama ovu zote hazifanikiwi kwa hali na mali lasihivyo itakuwa REJEA mbaya kwa chaguzi zijazo hasa 2020
Mkuu zitto junior nimekusoma vizuri, hapa CCM walipotufikisha siyo tena kulalamika kwani kila uhuni wanaofanya wameandaa majibu ya malalamiko ya Chadema. Ni wakati wa kupambana na hawa makaburu weusi,hakuna jinsi nyingine kwani wao wanategemea bunduki na mabomu ya polisi lakini hayo siyo mengi kuliko idadi yetu tukiamua watanyoosha mkono tu.Mkuu Erythrocyte huu uchaguzi umebeba hatma ya upinzani.... Kwa mliopo dar hakikisheni njama ovu zote hazifanikiwi kwa hali na mali lasihivyo itakuwa REJEA mbaya kwa chaguzi zijazo hasa 2020
Kihistoria Kinondoni ni jimbo la CCM, hata huyu Mtulia 2015 alichaguliwa na wanaccm waliochukizwa na kitendo cha CCM kumrejesha muuza ngada ulingoni. Kwahiyo kuupima upinzani kwa majimbo ya CCM Siha na Kinondoni ni kujidanganya!
Mkuu hoja yangu sio kushinda ama kushindwa kwa upinzani kwenye sanduku la kura ila nachoongelea ni kushindwa kwa sababu ya rafu za uchaguzi alafu wanaishia kulalamikaKihistoria Kinondoni ni jimbo la CCM, hata huyu Mtulia 2015 alichaguliwa na wanaccm waliochukizwa na kitendo cha CCM kumrejesha muuza ngada ulingoni. Kwahiyo kuupima upinzani kwa majimbo ya CCM Siha na Kinondoni ni kujidanganya!
Siko Dar mkuu kwa nafasi yangu nmechangia sana kwenye siasa za kupambana kukikuza chama hasa nikiwa chuoni nlijitoa sana.... Ndio maana nmesema KWA WALIOPO DAR kina Erythrocyte na salary slip wahakikishe kura haibiwi wala rafu za NEC hazifanikiwiMimi nilidhani utasema, TUPAMBANE kumbe ni wale wale keyboard/keypad warriors wanaosema, MPAMBANE wakati yeye yuko chumbani kwake akiangalia TV.
Karibu kwenye uwanja wa mapambano kama unataka kusimamia hoja yako na sio kuwafanya wengine mbuzi wa kafara!
Hii mada ni kwa wapenda mabadiliko ila kama unaona demokrasia haina faida yeyote basi una haki ya kutukejeliMasikini bavicha !
Mkuu Richard heshima kwako na ahsante kwa kuchangia..... Ingawa napingana na mtazamo wako ila naheshimu mawazo yako na labda nikuulizePia Kinondoni ndio jimbo tajiri kuliko majimbo mengine hivyo CCM ina mkakati wa kulifanya jimbo hilo liwe ndio chanzo kikuu cha mapato mkoani Dar-es-salaam.
Ili kuliendeleza jiji la Dar inabidi kudhibiti vyanzo vya mapato vya uhakika ambavyo tayari CCM na Serikali yake wanavifahamu kwa asilimia 100.
Kinondoni ni jimbo la kimkakati hivyo mwaka huu na baada ya 2020 jimbo hili haliwezi kwenda upinzani na Mtulia tayari anayo "dossier" ya "mkakati Kinondoni".
Mkuu Richard heshima kwako na ahsante kwa kuchangia..... Ingawa napingana na mtazamo wako ila naheshimu mawazo yako na labda nikuulize
unaposema jimbo la kinondoni lipo kimkakati ili kukuza uchumi ina maana mbunge akitokea upinzani anawezaje kuathiri mipango hiyo??
2. Je kwanini unaamini CCM wanajua sana mapato ya hiyo wilaya ndio maana wataweza kuliendeleza sasa swali linakuja kwanni miaka 50 walijua hivyo vyanzo hawakuweza kulitumia kimkakati ila unaamini miaka 50 baadae yaani 2017 ndio wataweza kulitumia kimkakati ili kuijenga dar?? Kwani hamuwezi lidhibiti kwa kutimia halmashauri ya kinondoni ambayo ipo chini ya CCM
Ni hayo tu
Hoja yako ni nini hasa mbona jazba tupu!! Mbona 2015 mlivunja watu miguu pale biafra na mabomu ha machozi pamoja na risasi mlitumia ila vijana walikomaa hadi mtulia akatangazwa!!!Mawazo mfu. Mchakato wa katiba mpya, hata ukireshwa mambo yatakuwa haya haya coz utapigiwa kura na wanaccm ambao kihesabu ndiyo wengi bungeni na uraiani. Ok, unashauri wapambane na wavumilie virungu je, umeambiwa kuwa virungu ndiyo vitakavyotumika peke yake kuwadhibiti? Wakilambwa shaba watu 2, unadhani kuna atakayevumilia? wote watakimbilia majumbani na kijificha na waking'ang'ani basi vijana wanaweza kuitwa ili kufanya usafi mitaani ili tuone kama kuna atakayebaki mtaani.
Wewe bado bwana mdogo sana, tulia ukue, mambo haya yanazidi kimo chako cha kufikiri.
Endelea kuotaHoja yako ni nini hasa mbona jazba tupu!! Mbona 2015 mlivunja watu miguu pale biafra na mabomu ha machozi pamoja na risasi mlitumia ila vijana walikomaa hadi mtulia akatangazwa!!!
Mkuu hakuna kitu kinaweza zidi nguvu ya umma tumeona wote zimbabwe afrika kusini na ethiopia bila nguvu ya umma wale viongozi wasingejiuzulu..... Sasa kma huko imewezekana pamoja na hapo hapo kinondoni 2015 nguvu ya umma ilitumika kwanni ishindikane mwaka huu???
Nguvu ya umma ndio suluhisho la huu ushenzi wa CCM
Sawa tukutane jumapili asubuhi usikimbie tuEndelea kuota
Mkuu nilionya kuwa haya yatatokea naona wametuzidi ujanja hivyo tumejizika rasmiMkuu Zitto Junior upo?
Haya, mimi napita tu.