tinna cute
JF-Expert Member
- Sep 22, 2013
- 4,630
- 2,310
Sredi klozdi
Still inadiscasiwa mwenzangu!!!
Sredi klozdi
Unamaanisha wenye pesa hawalumbani? Ungejua ndoa za maskini zina maelewano mazuri kuliko za hao matajiri
Hela ninayoongelea hapa ni ile ya kutumiza wajibu wako ww mume like kumnunulia mkeo gari analotaka,,, simu,,, hosp yenye hadhi,,, vaccation once in while,,, nyumba nzuri,,, shoping aitakayo sio aishi maishi ya ndotoni kila siku kusadikika
Dada wewe inaelekea umezoea maisha ya juu sana wengine hapa tumetoka kayumba family tumekulia kauzu milenda hata hizo smartphone hatujawahi shika unadhani nikiolewa na mwanaume mwenye chumba kimoja tukaanzia maisha sitaridhika? Halafu inategemea ndoa unaichukulia vipi mimi kwa upande wangu ndoa naiona ni stara na mume ndio vazi litakalokustiri,ndoa ni nusu ya dini na inampandisha mtu hadhi naipenda sana ndoa namuomba sana Mungui anijalie mume mwema ili nisiichukie ndoa.
1, ukioa bila hela unatunzaje huyo mke/wak!!!!!!!!! ndo maana michepuko inazidi coz mume anashindwa kutimiza wajibu financially though stms for fun
2, Mipango bila hela ni sawa na kitanda bila mke,,,, tafuta hela then panga cha kufanyia!!!!!!!!!!
Kuna ndg yng mmoja husema ivi " maskini wana mipango mizuri sana lkn hawajui kutafuta hela" so akitaka new idea anaita rfk yke maskini sana na anapata idea nzuri sana. so ni bora upoteze muda kuzisaka pesa kuliko kuwekeza kwny mipango...
3, hapo inategemea ke/me kaolewa kwa sababu gani!!!!!! mwngne anaolewa akae mda fulani aombe taraka apate mgao
kwa case ya furaha ndoa za maskini zina furaha coz mwanaume hana kitu atakua mnyenyekevu balaa deki atapiga na ugali atasonga bajeti ya nyanya1 moja mtapiga wote kasheshe apate mbona utakoma!!!!!!!!! atatafuta mwny hadhi yake...... uliza walioanza frm the scrach wakapata wakwambie moto wake ulivyo
Sentence hii ya kujaliwa mume mwema ndo nakubaliana na ww!!!!!!!!!
Maisha yng ni kawaida sana na najitahidi kupambana nitoke,,,,,,,,,,,,, hebu olewa na huyo wa chumba kimoja kila mtu na mtazamo wake........

Mwisho wa siku...... Pesa ndio sabuni ya roho.
Hata Mungu hupenda wenye pesa.
Wengine ni "sikio la kufa"...!hata umwanbieje hawezi kukuelewa, fate ndio itamuelewesha..!Nilichosema mimi usiipe pesa kipaumbele kwenye ndoa,dada yangu alianza maisha na chumba kimoja lakini sasa wana nyumba tatu tena zenye hadhi na gari na wanapendana mpaka raha japokuwa ndoa yao ina miaka 15,jambo la msingi ni upendo wa kweli na mkisharidhiana mnaishi vyovyote tu PESA NI IBILISI UKIIPA KIPAUMBELE INAKUVUA UTU WAKO.
Mwisho wa siku...... Pesa ndio sabuni ya roho.
Hata Mungu hupenda wenye pesa.
1: status; hata uwe na wake mia bila hela utaishia kuitwa mjinga usie na akili
2: Mipango; bila hela hakuna mipango itakayopangika zaidi utakesha ukiota mipango,,,, na ukioa kilaza ndo kabisaaaaaaaaaa!!!!!!!!! utahisi una mikosi ya kila rangi.
3: Watoto; yes watoto ni furaha na faraja baraka kutoka kwa mungu..... but bila hela utawaona ni mzigo na kuchukia mama yao eti haijui nyota ya kijani anaijua ya bluu tu!!!!!!!!!!!!!
Ushauri; tafuta hela,, pata hela,,, waza kuoa over!!!!!"
Shost huyo maskini akipata utajutraaaaaa!!!!!!!!
Kama Mungu hupenda wenye pesa basi matajiri wote wangeingia peponi.
Mungu wa wapi huyo...labda Mungu wa kiboroloni
Niambie Mungu yupi unayemjua wewe anayependa umaskini...
1: status; hata uwe na wake mia bila hela utaishia kuitwa mjinga usie na akili
2: Mipango; bila hela hakuna mipango itakayopangika zaidi utakesha ukiota mipango,,,, na ukioa kilaza ndo kabisaaaaaaaaaa!!!!!!!!! utahisi una mikosi ya kila rangi.
3: Watoto; yes watoto ni furaha na faraja baraka kutoka kwa mungu..... but bila hela utawaona ni mzigo na kuchukia mama yao eti haijui nyota ya kijani anaijua ya bluu tu!!!!!!!!!!!!!
Ushauri; tafuta hela,, pata hela,,, waza kuoa over!!!!!"
Wengine ni "sikio la kufa"...!hata umwanbieje hawezi kukuelewa, fate ndio itamuelewesha..!
Nitajie watatu unaowajua ambao hawataingia peponi.