Umuhimu wa ndoa kwako

Umuhimu wa ndoa kwako

Thank you. Pesa inatukuzwa mno Karucee. Money has nothing in itself by the way. It does follow our instructions diligently. So Mipango first, pesa inakuja tu. Mtu akipata pesa kabla ya mipango urahisi wa kuipoteza kwa spidi ya Km 120 kwa saa ni kubwa sana.

Plan , plan, plan
money made man mad!
 
Last edited by a moderator:
Nimefurahi najifunza mawazo mbalimbali...kila jambo kutoka kwenu naliweka kichwani....WANASEMA AKILI YAKO UKIONGEZEA YA KUAMBiwa unafanya uamuzi sahihi
 
kuoa hakuna uhusiano wa moja kwa moja na hela.

mipango inatangulia kwanza na mipango inaleta hela. Hela haileti mipango, inapanua mipango... Ukitaka upate hela ndio upange, umeumia..

hela haina hio heshima unayoipa. Kita aitafutaye ataiapata na ipo kwa utele.

kama ndio hivyo matajiri na watu maarufu ndio wangeongoza kwa kuoa na kuwa na ndoa nzuri... Kama huamini, waulize wazee wa holywood alisema bak

i like this.
 
Unamaanisha wenye pesa hawalumbani? Ungejua ndoa za maskini zina maelewano mazuri kuliko za hao matajiri
Hao ndo wanalumbana kila kukicha, tatzo watu wanafikiri et pesa ndo suluhisho la kila kitu
 
Mzee wa hekima na busara tele AKA Tized , ahsante sana kwa mchango wako mzuri sana. Nimeiona quote Mkuu, uwe na jioni na weekend njema Mkuu mbarikiwe wewe na wote uwapendao.

Kuoa hakuna uhusiano wa moja kwa moja na hela.

MIPANGO INATANGULIA KWANZA na mipango inaleta hela. hela haileti mipango, inapanua mipango... ukitaka upate hela ndio upange, umeumia..

Hela haina hio heshima unayoipa. Kita aitafutaye ataiapata na ipo kwa utele.

Kama ndio hivyo matajiri na watu maarufu ndio wangeongoza kwa kuoa na kuwa na ndoa nzuri... kama huamini, waulize wazee wa HOLYWOOD alisema BAK
 
Last edited by a moderator:
Nakushukuru sana Mkuu BAK, mimi ni mfuasi mtiifu wa upeo,hekima na Busara uliojaliwa kaka mkubwa. Ubarikiwe zaidi.

Nikushukuru sana na nikutakieni kila lililo jema kaka mkubwa.
Weekend njema sana Mkuu

Super!!!!!!!!

hela inatokana na fikra chanya kutoka kwa wale wazitafutao!!
Money is never a primary goal for marriage, just a medium of exchange!!
Nonbelievers only can worship money, with god you take & digest life faithfully!!
Marriage is more than money tinna cutie
 
Last edited by a moderator:
Mmmhhh humu ndani kuna nadharia za kidhanifu hadi kero
 
Sredi klozdi

1: status; hata uwe na wake mia bila hela utaishia kuitwa mjinga usie na akili
2: Mipango; bila hela hakuna mipango itakayopangika zaidi utakesha ukiota mipango,,,, na ukioa kilaza ndo kabisaaaaaaaaaa!!!!!!!!! utahisi una mikosi ya kila rangi.
3: Watoto; yes watoto ni furaha na faraja baraka kutoka kwa mungu..... but bila hela utawaona ni mzigo na kuchukia mama yao eti haijui nyota ya kijani anaijua ya bluu tu!!!!!!!!!!!!!
Ushauri; tafuta hela,, pata hela,,, waza kuoa over!!!!!"
 
Unamaanisha wenye pesa hawalumbani? Ungejua ndoa za maskini zina maelewano mazuri kuliko za hao matajiri

Hapa tunazungumzua mwenye pesa ya kukidhi mahitaji muhimu,Kuna tofauti kati ya tariji na mwenye uwezo wa kujikimu mahitaji yake na ya wengine.
 
Nashukuru sana Mkuu Tized, ahsante sana. :yo: :yo: :yo:

Nakushukuru sana Mkuu BAK, mimi ni mfuasi mtiifu wa upeo,hekima na Busara uliojaliwa kaka mkubwa. Ubarikiwe zaidi.

Nikushukuru sana na nikutakieni kila lililo jema kaka mkubwa.
Weekend njema sana Mkuu
 
Last edited by a moderator:
4.) Kulala bila kyupi.

5.) Kupata mwenzi.

6.) Kukua:- unapokutana na challenge kny maisha na kuzikabili unakua kifikra,kimaamuzi n.k

7.).....
 
Hela inatokana na fikra chanya kutoka kwa wale wazitafutao!!
Money is never a primary goal for marriage, just a medium of exchange!!
Nonbelievers only can worship money, with God you take & digest life faithfully!!
Marriage is more than Money tinna cutie

Bila hela huyo mke utamtunza na nn??????
Sir god atakutimizia kila kitu bila ww kuzisaka pesa?????
Marriage is all about money!!!! siku moja utakubali nisemayo
 
Last edited by a moderator:
Comment yako ina walakini sana...!
Labda nikuulize, hiyo pesa unayosema ni kiasi (shs) ngapi kwako? #nooffenceplz

Hela ninayoongelea hapa ni ile ya kutumiza wajibu wako ww mume like kumnunulia mkeo gari analotaka,,, simu,,, hosp yenye hadhi,,, vaccation once in while,,, nyumba nzuri,,, shoping aitakayo sio aishi maishi ya ndotoni kila siku kusadikika
 
Kuoa hakuna uhusiano wa moja kwa moja na hela.

MIPANGO INATANGULIA KWANZA na mipango inaleta hela. hela haileti mipango, inapanua mipango... ukitaka upate hela ndio upange, umeumia..

Hela haina hio heshima unayoipa. Kita aitafutaye ataiapata na ipo kwa utele.

Kama ndio hivyo matajiri na watu maarufu ndio wangeongoza kwa kuoa na kuwa na ndoa nzuri... kama huamini, waulize wazee wa HOLYWOOD alisema BAK

1, ukioa bila hela unatunzaje huyo mke/wak!!!!!!!!! ndo maana michepuko inazidi coz mume anashindwa kutimiza wajibu financially though stms for fun
2, Mipango bila hela ni sawa na kitanda bila mke,,,, tafuta hela then panga cha kufanyia!!!!!!!!!!
Kuna ndg yng mmoja husema ivi " maskini wana mipango mizuri sana lkn hawajui kutafuta hela" so akitaka new idea anaita rfk yke maskini sana na anapata idea nzuri sana. so ni bora upoteze muda kuzisaka pesa kuliko kuwekeza kwny mipango...
3, hapo inategemea ke/me kaolewa kwa sababu gani!!!!!! mwngne anaolewa akae mda fulani aombe taraka apate mgao
kwa case ya furaha ndoa za maskini zina furaha coz mwanaume hana kitu atakua mnyenyekevu balaa deki atapiga na ugali atasonga bajeti ya nyanya1 moja mtapiga wote kasheshe apate mbona utakoma!!!!!!!!! atatafuta mwny hadhi yake...... uliza walioanza frm the scrach wakapata wakwambie moto wake ulivyo
 
Back
Top Bottom