Umuhimu wa maktaba

Mbonea

JF-Expert Member
Jul 14, 2009
640
20
Wadau, mimi ni mpenzi mkubwa wa kujisomea hasa majarida, vitabu na magazeti mbalimbali. Na vyote hivyi inakuwa si rahisi kuvipata kwa unafuu na ndipo linapokuja swala la kwenda maktaba ambapo ndipo inaaminika utapata kila aina ya "information"...

Swala ni kwamba, Tanzania hatuna maktaba za kutosha na inaonekana hata mashuleni swala hili limewekwa kapuni na hii inajidhihirisha zaidi pale unaposikia wadau wengi wa elimu uhamasisha uwepo wa MAABARA mashuleni huku wakidharau swala la maktaba.

Swala lengine, hata hizo maktaba zilizopo hazina mahtaji ya kutosha kwa watumiaji wake.... Je, nini kifanyike??? Aksanteni


MAFUNZO BILA NYENZO NI SAWA NA MTUMBWI BILA MAKASIA
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom