Umuhimu wa kuhonga katika mapenzi

Ni muhimu lakini sio lazima, mapenzi ni kujali na kusaidiana (pande zote).
Unapokuwa mpokeaji bila kutoa huna tofauti na anayeuza.
 
Bora nihongwe pesa, ukihongwa asset siku ya kuachana jiandae kufedheheka. Wananyang`anya kila kitu. We nipe pesa ninunue nachotaka na sio unileteee hakuu sitaki.

Ata ela zenyewe wanadaigi awa viumbe....
 
aisee,kiukweli kuhongwa muhimu sana
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] ww unamuona mmbaya lakin wanawake wenzio wanamlilia wanataman wampate aisee inatubidi tusije na wake zetu "dalisalama"
Mwanaume mlegevulegevu na mrembo hivyo nani ataka? Hanivutii kwa chochote mie
 
Aiseee.....!!!!
Hiyo Ni gharama ya huduma....!
 
tuhongeni jamani tujiskie wa kipekee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…