Umuhimu wa kikombe cha chai kwenye mapenzi

Umuhimu wa kikombe cha chai kwenye mapenzi

Chai ni kinywaji kinachonywewa sana duniani si Asia, Ulaya, Africa mpaka Australia, Arabuni na kwingineko. Kuna walevi wa chai kabisa na hawa Mara nyingi ni wasiotumia pombe.

Chai ina nafasi ya pekee katika maisha yetu ya kila siku, hata mikutano ya maofisini chai ni kinywaji kikuu. Mume anapotengenezewa kikombe cha chai namkewe hujusikia burudani.

Sasa mtoto wa kike wewe, mume anatoka kazini anakuuliza habari humwangalii hata usoni ukiulizwa kuna chai unajibu kettle huioni? Kwani hajui kama kuna kettle? Au alioa kettle?

Little things can make a big difference in marriage.
Mwanamke anaye jisoma humwangalia mume wake usoni pale anapowasiri. Macho yana siri nyingi sana. I.e amechepuka, amemiss mambo, amechoka n.k.

Wanawake wanao jisoma huwa hawaulizi haswa kwa mtu unaye mjua ndani na nje



The same aplies to mume
 
Mimi ni Mshashi kutoka Ikungulyabashashi

Mmmhhhhhh,

Unakula, kinyesi cha ng'ombe au mbuzi akichinjwa unakitoa unachanganya na nyama na kinywaji Kama uji Ila kinywaji hicho ni chepesi!?

Kinaitwa mmmmh, ok kinaitwa togwa!?
 
Back
Top Bottom