Umuhimu wa kikombe cha chai kwenye mapenzi

Mkuu imo lakini kule Tanga twalima chai ndiyo scenario iliyotolewa na somo wakati tukichezwa ngoma
Mtoto tanga line weyeee.....aksanteeee. na chai ndo ugonjwa wangu...naja unipikie chai full massala.
 
Chai ni kinywaji kinachonywewa sana duniani si Asia, Ulaya, Africa mpaka Australia, Arabuni na kwingineko. Kuna walevi wa chai kabisa na hawa Mara nyingi ni wasiotumia pombe.

Chai ina nafasi ya pekee katika maisha yetu ya kila siku, hata mikutano ya maofisini chai ni kinywaji kikuu. Mume anapotengenezewa kikombe cha chai namkewe hujusikia burudani.

Sasa mtoto wa kike wewe, mume anatoka kazini anakuuliza habari humwangalii hata usoni ukiulizwa kuna chai unajibu kettle huioni? Kwani hajui kama kuna kettle? Au alioa kettle?

Little things can make a big difference in marriage.
Wallah kwa chai utanipata.
 
Angalia Mkuu, isije kuwa umekoshwa na AVATAR...!! Picha hiyo ni mwanamama Oprah.

Mwanamke Mweusi tajiri Duniani...

Vipi nikitumie picha halisi ya mwanaharakati Sky...?
Nimekoshwa na mada yake atakuwa potential wife
 
Chai nimezoea asubuhi mimi sijui kwa nini... ila maji na sharubati wakati wowote, kwa hiyo mke wangu nitakuwa namsumbua aniandalie sharubati
 
Chai ni kinywaji kinachonywewa sana duniani si Asia, Ulaya, Africa mpaka Australia, Arabuni na kwingineko. Kuna walevi wa chai kabisa na hawa Mara nyingi ni wasiotumia pombe.

Chai ina nafasi ya pekee katika maisha yetu ya kila siku, hata mikutano ya maofisini chai ni kinywaji kikuu. Mume anapotengenezewa kikombe cha chai namkewe hujusikia burudani.

Sasa mtoto wa kike wewe, mume anatoka kazini anakuuliza habari humwangalii hata usoni ukiulizwa kuna chai unajibu kettle huioni? Kwani hajui kama kuna kettle? Au alioa kettle?

Little things can make a big difference in marriage.
bora uwakumbushe wenzako kuachana na mapenzi ya kimazoea...
 
Nadhani inategemea na mazoea ya mwanaume..
Kuna ambae atapendelea juice kuliko chai..

Ila mapenzi ni ubunifu,jumapili mkipumzika jioni ukamtemgea hata tu-karanga twa mayai au korosho huku mnapanga mambo yenu inapendeza kwa kweli..

Shukran kwa ukumbusho..
 
Chai ni kinywaji kinachonywewa sana duniani si Asia, Ulaya, Africa mpaka Australia, Arabuni na kwingineko. Kuna walevi wa chai kabisa na hawa Mara nyingi ni wasiotumia pombe.

Chai ina nafasi ya pekee katika maisha yetu ya kila siku, hata mikutano ya maofisini chai ni kinywaji kikuu. Mume anapotengenezewa kikombe cha chai namkewe hujusikia burudani.

Sasa mtoto wa kike wewe, mume anatoka kazini anakuuliza habari humwangalii hata usoni ukiulizwa kuna chai unajibu kettle huioni? Kwani hajui kama kuna kettle? Au alioa kettle?

Little things can make a big difference in marriage.
Tanzania ya viwanda
 
Umegusa kwenyewe haswa...kwa sisi walevi wa chai, jioni ikifika nahitaji kikombe cha chai wakati nasubiria maakuli huku nikicheza cheza na vijana na kukagua daftari zao za shule. Basi ni raha tupu!!
 
Kuna kaka alinieleza kwa machungu kuwa hajawahi kunywa chai iliyotengenezwa na mkewe.
 
Back
Top Bottom