Umuhimu wa kikombe cha chai kwenye mapenzi

Umuhimu wa kikombe cha chai kwenye mapenzi

Anaisikiaga kwenye bomba tu. Duh hatari sana kizazi hiki kimekuwa too much affected by western culture.
Yah anasema hata weekend mdada anatengeneza kikombe chake ana kaa kwenye sofa kuwatch news mr akitoka huko annambiwa ohh tengeneza tu chai mkate uko kwenye fridge. Mwanaume kama huyo akiwa Huku kwetu Kwamtogole hushangai kusikia amenunua na nyumba kwa ni mdogo.
 
Chai ni kinywaji kinachonywewa sana duniani si Asia, Ulaya, Africa mpaka Australia, Arabuni na kwingineko. Kuna walevi wa chai kabisa na hawa Mara nyingi ni wasiotumia pombe.

Chai ina nafasi ya pekee katika maisha yetu ya kila siku, hata mikutano ya maofisini chai ni kinywaji kikuu. Mume anapotengenezewa kikombe cha chai namkewe hujusikia burudani.

Sasa mtoto wa kike wewe, mume anatoka kazini anakuuliza habari humwangalii hata usoni ukiulizwa kuna chai unajibu kettle huioni? Kwani hajui kama kuna kettle? Au alioa kettle?

Little things can make a big difference in marriage.
Au luku imeisha,sukari au majani ya chai yameisha
Mbaya zaidi utasikia gesi imeisha kana kwamba yeye kalelewa kwenye gesi.
 
Au luku imeisha,sukari au majani ya chai yameisha
Mbaya zaidi utasikia gesi imeisha kana kwamba yeye kalelewa kwenye gesi.
Tena mtoto wa kike anatakiwa awe na dhana zote mpaka jiko la mafuta stand by
 
Yah anasema hata weekend mdada anatengeneza kikombe chake ana las kuwatch news mr akiyoka huko annambiwa ohh tengeneza tu chai mkate uko kwenye fridge. Mwanaume kama huyo akiwa Huku kwetu Kwamtogole hushangai kusikia amenunua na nyumba kwa ni mdogo.
Kama anaishi na dada ake. Hata ingekuwa mimi lazima ninunue Nyumba na Gari kwa bi mdogo. Inaondoa radha kabisa.
 
Back
Top Bottom