virginity
JF-Expert Member
- Jul 1, 2017
- 902
- 985
Nani kaibiwa sa?Wizi mtupu
Nani kaibiwa sa?Wizi mtupu
kwo kesho twakutana stendi eeh? Poa najaKwakweli sogea gari laja
MmNani kaibiwa sa?
Chai ni kinywaji kinachonywewa sana duniani si Asia, Ulaya, Africa mpaka Australia, Arabuni na kwingineko. Kuna walevi wa chai kabisa na hawa Mara nyingi ni wasiotumia pombe.
Chai ina nafasi ya pekee katika maisha yetu ya kila siku, hata mikutano ya maofisini chai ni kinywaji kikuu. Mume anapotengenezewa kikombe cha chai namkewe hujusikia burudani.
Sasa mtoto wa kike wewe, mume anatoka kazini anakuuliza habari humwangalii hata usoni ukiulizwa kuna chai unajibu kettle huioni? Kwani hajui kama kuna kettle? Au alioa kettle?
Little things can make a big difference in marriage.
Mimi napendelea uji wa moto. Wakurya hawawezi kusema uji wa moto, kwao ni uchi wa moto
Sasa mtoto wa kike anaeenzi ndoa jioni atahakikisha kuna maziwa fresh ya chai ya mzee na akishakuwekea chai masala kwenye chupa na yeye anaoga na kukusubiri mjongee. Hata vrisasi zikirindima nje utaona sawa tuSky Eclat umesema vema kabisa. little things can make a huge difference. mimi ni mpenzi mmojawapo wa chai (my avatar not withstanding) na napenda sana nikiinywa ya nyumbani, tea masala flan hivi yenye maziwa basi moyo burdaaani kabisa
Mimi napendelea uji wa moto. Wakurya hawawezi kusema uji wa moto, kwao ni uchi wa moto
Sasa mtoto wa kike anaeenzi ndoa jioni atahakikisha kuna maziwa fresh ya chai ya mzee na akishakuwekea chai masala kwenye chupa na yeye anaoga na kukusubiri mjongee. Hata vrisasi zikirindima nje utaona sawa tu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Siyo kila mtu anapenda chai wengine wamezoea viroba
Wafundishe hawa watoto wa kike mana wengine tuliojaliwa kutotumi pombe tunapata msononeko kwa hiyo hali kule nyumbani.Unawahi nyumbani usipitie vikao vya bar lkn ukifika home hupati cha kukushawishi uendelee kukwepa vikao vya bar.Chai ni kinywaji kinachonywewa sana duniani si Asia, Ulaya, Africa mpaka Australia, Arabuni na kwingineko. Kuna walevi wa chai kabisa na hawa Mara nyingi ni wasiotumia pombe.
Chai ina nafasi ya pekee katika maisha yetu ya kila siku, hata mikutano ya maofisini chai ni kinywaji kikuu. Mume anapotengenezewa kikombe cha chai namkewe hujusikia burudani.
Sasa mtoto wa kike wewe, mume anatoka kazini anakuuliza habari humwangalii hata usoni ukiulizwa kuna chai unajibu kettle huioni? Kwani hajui kama kuna kettle? Au alioa kettle?
Little things can make a big difference in marriage.
Nani kaibiwa sa?
Nani kaibiwa sa?
Wenaye chapombe wa hajaMimi mvivu wa kunywa chai,
Asubuhi napendelea kunywa wine kidogo na kitafunwa na sipokunywa coca cola 2 kwa siku sijisikii raha kabisa.